Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,511
Waswahili wanasema "Hapo kesi ya Nyani unataka kumpelekea Ngedere".
Wale mabwana wa Magwanda walitaka wachunguzi kutoka nje kwa sababu hawaviamini vyombo vya hapa ndani na pengine wanahisi ndivyo vinahusika , lakini hawa mabwana wa Kijani hawataki.
Kwahiyo kama hawa Kijani wanajiamini basi wawaruhusu hawa Magwanda walete hao wachunguzi wao kutoka nje.