Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
- Thread starter
- #21
Serikali ya rais magufuli tunataka ije na majibu ya maswali haya!
1. Sababu zipi za msingi zilifanya serikali igome kumpa haki yake ya matibabu kwa mazingira yale?
2. Kwanini Ndugai alidanganya bunge na Watanzania kuwa Turuki alitoa pesa cash kulipia ndege iliyomsafirisha Lissu kwenda Hospital Nairobi tofauti na maelezo ya Turuki kuwa aliwadhamini Chadema kwa mali kauli sababu mmiliki wa ndege ile walikuwa wanafahamiana?
3. Kwanini serikali ya rais magufuli kupitia Jeshi la Polisi ilipiga marufuku Lissu kuombewa kwenye viwanja vya wazi?
4. Kwanini serikali ya rais magufuli kupitia Jeshi la Polisi ilipiga marufuku fulana zilizoandikwa 'We Pray For Lissu'?
5. Kwanini Waziri wa Nishati Medard Kalemani aling'oa CCTV kamera ambazo zilikuwa karibu na eneo aliloshambuliwa Lissu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo waziri Kalemani ulimwona akizing’oa hizo kamera?