Siamini kama CHADEMA na wenzao kweli wanataka uchunguzi ufanyike

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
84,262
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
84,262 2,000
Msimamo wangu ni huu: inashangaza sana kwa nini kuna muonekano kana kwamba jaribio la kutaka kumuua Tundu Lisu halijafanyiwa/ halifanyiwi uchunguzi na vyombo vya dola.

Neno muhimu hapo ni ‘muonekano’. Kama uchunguzi unafanyika nyuma ya pazia, basi sawa. Lakini machoni mwa wengi hakuna kinachoonekana kufanyika.

Hali hiyo inazua maswali mengi sana.

Baada ya hayo machache, tulonge sasa kuhusu ninachotaka kukijadili hapa.

Ni hivi, mimi kwa kweli siamini kabisa kama CHADEMA na washirika wao wanataka serikali ivalie njuga suala la uchunguzi wa shambulio lile.

Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu muonekano wa kutolifanyia uchunguzi shambulio lile umewapa ‘kiki’ CHADEMA.

CHADEMA sasa wamepata fimbo ya kuichapia CCM.

Mtu yeyote akianza mdahalo kidogo tu na kamanda yeyote yule, haimchukui muda kwa kamanda huyo kuleta habari za ukosefu wa uchunguzi wa jaribio la kumuua Lisu. Ukosefu wa uchunguzi huo umekuwa nongwa. Umekuwa ndo silaha [hoja] kuu ya CHADEMA.

Hata mhanga wa jaribio naye amekuwa akiitumia sana hiyo silaha kuwachapia nayo CCM.

Sasa pata picha serikali inalivalia njuga hilo suala na kufanya uchunguzi wa kweli. Hao CHADEMA watabaki na nini?

Kwanza watayakubali matokeo ya huo uchunguzi? Au watataka matokeo hayo yahitimishe tu kuwa Rais Magufuli ndiye mhusika namba moja? Nje ya hapo hawatoyakubali?

Naamini kabisa kuwa uchunguzi wa kweli ukifanyika, CHADEMA watahamisha magoli. Watakosa kabisa hoja kama vile ambavyo hoja ya ufisadi walivyoitupilia mbali baada ya kubadili gia angani.

Kwa hiyo, kwa mtaji huo, hilo shambulio dhidi ya Lissu na aftermath yake, CHADEMA wamenufaika nalo sana kisiasa. Si ajabu hata Lisu mwenyewe hajui kuwa chama chake kimenufaika kisiasa kupitia mgongo wake. Na ndo maana siamini kabisa kuwa CHADEMA iko inataka uchunguzi wa kweli ufanyike.

Siku uchunguzi wa kweli ukifanyika, CHADEMA ndo kwisha habari yake.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Messages
1,945
Points
2,000

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2013
1,945 2,000
Mkuu si unajua kama Mbatia wamemtenga? unajua kwanini wamemtenga?
Baada ya hayo machache, tulonge sasa kuhusu ninachotaka kukijadili hapa.

Ni hivi, mimi kwa kweli siamini kabisa kama CHADEMA na washirika wao wanataka serikali ivalie njuga suala la uchunguzi wa shambulio lile.

Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu muonekano wa kutolifanyia uchunguzi shambulio lile umewapa ‘kiki’ CHADEMA.

CHADEMA sasa wamepata fimbo ya kuichapia CCM.
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
16,458
Points
2,000

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
16,458 2,000
Msimamo wangu ni huu: inashangaza sana kwa nini kuna muonekano kana kwamba jaribio la kutaka kumuua Tundu Lisu halijafanyiwa/ halifanyiwi uchunguzi na vyombo vya dola.

Neno muhimu hapo ni ‘muonekano’. Kama uchunguzi unafanyika nyuma ya pazia, basi sawa. Lakini machoni mwa wengi hakuna kinachoonekana kufanyika.

Hali hiyo inazua maswali mengi sana.

Baada ya hayo machache, tulonge sasa kuhusu ninachotaka kukijadili hapa.

Ni hivi, mimi kwa kweli siamini kabisa kama CHADEMA na washirika wao wanataka serikali ivalie njuga suala la uchunguzi wa shambulio lile.

Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu muonekano wa kutolifanyia uchunguzi shambulio lile umewapa ‘kiki’ CHADEMA.

CHADEMA sasa wamepata fimbo ya kuichapia CCM.

Mtu yeyote akianza mdahalo kidogo tu na kamanda yeyote yule, haimchukui muda kwa kamanda huyo kuleta habari za ukosefu wa uchunguzi wa jaribio la kumuua Lisu. Ukosefu wa uchunguzi huo umekuwa nongwa. Umekuwa ndo silaha [hoja] kuu ya CHADEMA.

Hata mhanga wa jaribio naye amekuwa akiitumia sana hiyo silaha kuwachapia nayo CCM.

Sasa pata picha serikali inalivalia njuga hilo suala na kufanya uchunguzi wa kweli. Hao CHADEMA watabaki na nini?

Kwanza watayakubali matokeo ya huo uchunguzi? Au watataka matokeo hayo yahitimishe tu kuwa Rais Magufuli ndiye mhusika namba moja? Nje ya hapo hawatoyakubali?

Naamini kabisa kuwa uchunguzi wa kweli ukifanyika, CHADEMA watahamisha magoli. Watakosa kabisa hoja kama vile ambavyo hoja ya ufisadi walivyoitupilia mbali baada ya kubadili gia angani.

Kwa hiyo, kwa mtaji huo, hilo shambulio dhidi ya Lissu na aftermath yake, CHADEMA wamenufaika nalo sana kisiasa. Si ajabu hata Lisu mwenyewe hajui kuwa chama chake kimenufaika kisiasa kupitia mgongo wake. Na ndo maana siamini kabisa kuwa CHADEMA iko inataka uchunguzi wa kweli ufanyike.

Siku uchunguzi wa kweli ukifanyika, CHADEMA ndo kwisha habari yake.
Angekua ameshambuliwa mbunge wa ccm mnge kaa kimya hivyo?
 
gemmanuel265

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2016
Messages
8,526
Points
2,000

gemmanuel265

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2016
8,526 2,000

Serikali ya rais magufuli tunataka ije na majibu ya maswali haya!

1. Sababu zipi za msingi zilifanya serikali igome kumpa haki yake ya matibabu kwa mazingira yale?

2. Kwanini Ndugai alidanganya bunge na Watanzania kuwa Turuki alitoa pesa cash kulipia ndege iliyomsafirisha Lissu kwenda Hospital Nairobi tofauti na maelezo ya Turuki kuwa aliwadhamini Chadema kwa mali kauli sababu mmiliki wa ndege ile walikuwa wanafahamiana?

3. Kwanini serikali ya rais magufuli kupitia Jeshi la Polisi ilipiga marufuku Lissu kuombewa kwenye viwanja vya wazi?

4. Kwanini serikali ya rais magufuli kupitia Jeshi la Polisi ilipiga marufuku fulana zilizoandikwa 'We Pray For Lissu'?

5. Kwanini Waziri wa Nishati Medard Kalemani aling'oa CCTV kamera ambazo zilikuwa karibu na eneo aliloshambuliwa Lissu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,378,767
Members 525,185
Posts 33,723,923
Top