Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,380
- 17,950
Omar Bashir katawala kwa bunduki kuanzia 1989 hadi 2019 aliposhindwa kwa maandamano ya wananchi yaliyoongozwa na Binti wa mwaka wa pili Chuo Kikuu Alaa Salah, mwenye miaka 21.Nchi gani serikali ilikuwa na silaha zote na bado ilishindwa na wananchi wasio na silaha bila huruma na kuangalia ubinadamu?
Kila kitu kina mwisho