si kwa nia mbaya wakuu...

si kwa nia mbaya wakuu...

Jamani m2 achangie mada umtamani, kweli wengi watakuwa wananasa we subiri 2
 
SASA HAPA UTAMJUAJE WAKATI WENGI Avator ni fake,majina fake, Jinsia haileweki na comment za kicomedikomedi tuu
 
duuh,mna maswali ya mitego nyieeeeee kama unapenda maushauri ya jinsia moja mwenzio ukimtaja c itazua balaa humu jamvini,
 
Hii MADA ngumu sana...na UGUMU wake unatokana na kuwa mara nyingi watu hawasemi WANACHOTENDA na HAWATENDI wanachosema!!!. Unaweza kumkubali mtu kwa jinsi anavyorusha nondo humu JF but kiukweli akawa sivyo alivyo kiuhalisi...ILA kama kweli ANACHOTUPIAGA humu ndicho anachomaanisha na MAISHA yake yanaakisi MANENO yake ..basi huyu hapa huyu .....ingekuwa SAA inarudi nyuma huenda angekuwa.........
Ni hayo tu jamiif
kwani hii nayo umeniambia nikalale nisichangie pacha manake nataka tu kukwambia sijalala ahahahahahhahhaha niseme nisiseme mwenzenu pacha wangu anatamaaani
kurudisha nyuma muda ili ahahahhahhahhaha ahahahhaha akhu!mnataka nidundweeee ?lol!
 
Mwishowe mta wish waume/wake za watu au hata wanaume na wanawake wenzenu wangekuwa wapenzi wenu..punguzeni spidi jamani
 
nataka nitoke na wanangu Blaine na Platzoom

baba zao ni weengi watajaa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hii MADA ngumu sana...na UGUMU wake unatokana na kuwa mara nyingi watu hawasemi WANACHOTENDA na HAWATENDI wanachosema!!!. Unaweza kumkubali mtu kwa jinsi anavyorusha nondo humu JF but kiukweli akawa sivyo alivyo kiuhalisi...ILA kama kweli ANACHOTUPIAGA humu ndicho anachomaanisha na MAISHA yake yanaakisi MANENO yake ..basi huyu hapa huyu .....ingekuwa SAA inarudi nyuma huenda angekuwa.........
Ni hayo tu jamiif

kweli kabisa asimilia kubwa huku watu ni full unafiki ashakum si matusi yani kuna mtu nilikuwa nasomaga makala zake mwaka jana yani utafikiri huyo kaka alikuwa malaika alyeshuka lakini alipoanza kufunguka "cjui metego ilikataa" ni kashfa kwa wanawake na jamaa anaoneka katili sana naona wanamwita bikira wa kiume nafikiri hii na kwa namana alivyokuwa anajipresent mwanzoni.i ca never admire anyone cjamwona na kumjua
 
Lara1 nikiwa na dili lolote mjini 'socially' lazima nikufind. . .una techniques za ukweli mwenyewe nazikubali, nakusoma 2 we hujui, but kwa vile kakaangu(mchagga) yupo hapo basi weye shemeji yangu natia adabu.
Lara 1, mbona dume?
 
Hahahah aseeeee,binafc cjawah taman mtu humu jamvin kimahaba ila nina kabahati kakutamaniwa lol
Toka UNIJUE BWANA WAKO NAKUKAZA VIZURI BASI HUISHI KUNISIFIA!!!!!!!!!!! Haya njoo upate dozi ya jioni huku!!!!!!!! MAZAFANTA!!!!!!!
 
Wewe mdogo wangu snowhite unataka kusemaje hapa sasa??...dawa yako ndogo TU...Ngoja nikuswalike UKIPATIA utajua nilikuwa NAMAANISHA nini...Kuna NCHI moja kubwa sana na ila inashangaza..Unajua inashangaza??..KINACHOSHANGAZA ni kuwa KUNA sehemu ya WAINGEREZA na kuna sehemu ya WAFARANSA humo humo...ukipatia hiki kitendawili basi utakuwa unanidai honoraria ya kufunga MWAKA....haya twende kazi.....

kwani hii nayo umeniambia nikalale nisichangie pacha manake nataka tu kukwambia sijalala ahahahahahhahhaha niseme nisiseme mwenzenu pacha wangu anatamaaani
kurudisha nyuma muda ili ahahahhahhahhaha ahahahhaha akhu!mnataka nidundweeee ?lol!
 
Last edited by a moderator:
Wewe mdogo wangu snowhite unataka kusemaje hapa sasa??...dawa yako ndogo TU...Ngoja nikuswalike UKIPATIA utajua nilikuwa NAMAANISHA nini...Kuna NCHI moja kubwa sana na ila inashangaza..Unajua inashangaza??..KINACHOSHANGAZA ni kuwa KUNA sehemu ya WAINGEREZA na kuna sehemu ya WAFARANSA humo humo...ukipatia hiki kitendawili basi utakuwa unanidai honoraria ya kufunga MWAKA....haya twende kazi.....

Nimsaidie?
 
Last edited by a moderator:
Hii MADA ngumu sana...na UGUMU wake unatokana na kuwa mara nyingi watu hawasemi WANACHOTENDA na HAWATENDI wanachosema!!!. Unaweza kumkubali mtu kwa jinsi anavyorusha nondo humu JF but kiukweli akawa sivyo alivyo kiuhalisi...ILA kama kweli ANACHOTUPIAGA humu ndicho anachomaanisha na MAISHA yake yanaakisi MANENO yake ..basi huyu hapa huyu .....ingekuwa SAA inarudi nyuma huenda angekuwa.........
Ni hayo tu jamiif

Naaam, Bwn SnowBall, hapa umenikumbusha kitu - wengi tunatenda tusivyoongea na kuongea tusivyotenda! Saa nyingine hatuko halisi kabisa kwa maneno yetu, na mbaya zaidi matendo yetu hayaonekani hapa JF!
 
Ndiyo maana wanasema UKITAKA umjue KAA naye...Kuandika na Kusema ni RAHISI sana ila kuyaishi MAANDIKO (walking the talk) kuna ugumu wake....

Back
Top Bottom