Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Kwani hapa kuna nini?
Si kwa nia mbaya wakuu.
Si kwa nia mbaya wakuu.
napenda sana comment zake, mara nyingi inakua faster,funny and accurate...yuko so open pia! na wish one day nimtie machoni! popote ulipo ni pm nina bia zako kadhaa
Mimi nadhan inafaa sana tuipotezee hii mada.
kwa nia nzuri ee?
NAVUNJA UKIMYAAAAAAAAA!!!!!!! NAPASUA JIPU PWAAAAAAAAAAAAAH!!!!!!!!!!! NAMWAGA RADHI JAMANIIIIIIIIIII!!!!!!!! SEMENI SU!!!!!!!!! NIMWAGEEEEEEE!!!!!!!! Nilonge nithilongeeeeeeeeee!!!!!!! Mwenzenu mimiiiiiiiiiiiiiii! Mchumba wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!! Wa humuuuuuuuuuu! NI -----------------------
MSIZUGE ZUGE!!!!!! TIRIRIKENI HAPO!!!!!!!!!!! SIO KUFA NAYO MOYONI!!!!!!!!!
Coz itanifanya nionyeshe hisia zangu za ndani ambazo zitawafanya wanajf wanishange.