Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
- Thread starter
- #61
Mkuu huu ni mwaka mmoja sasa toka niweke hili bandiko. Nadhani swali la kujiuliza kwa sasa ni kuwa what will be next baada ya miaka 10 ya JPM. Will we be going back to square one? kwenye ulaji, usanii, ubabaishaji, madili??? au will we be moving forward? Unajua kuna baadhi ya mambo tunatakiwa kufikiri kama watanzania, na sio waingereza au wamarekani. Kwa wenzetu waingiereza mtu akiumwa unaenda kumwona na kadi ya get well soon....ukifanya hivyo kwa mtanzania ambaye hata bina ya NHIF hana ni sawa na ujinga,....Nchi yetu iko nyuma, kwa hiyo tunatakiwa kufanya mambo na kuwa na maamuzi yatakayotusukuma mbele na sio kutuyumbusha au kuturudisha nyuma.