Si kila Mtanzania ni kichwa cha panzi. We have made progress under Magufuli (For sure more needs to be done)

Mkuu huu ni mwaka mmoja sasa toka niweke hili bandiko. Nadhani swali la kujiuliza kwa sasa ni kuwa what will be next baada ya miaka 10 ya JPM. Will we be going back to square one? kwenye ulaji, usanii, ubabaishaji, madili??? au will we be moving forward? Unajua kuna baadhi ya mambo tunatakiwa kufikiri kama watanzania, na sio waingereza au wamarekani. Kwa wenzetu waingiereza mtu akiumwa unaenda kumwona na kadi ya get well soon....ukifanya hivyo kwa mtanzania ambaye hata bina ya NHIF hana ni sawa na ujinga,....Nchi yetu iko nyuma, kwa hiyo tunatakiwa kufanya mambo na kuwa na maamuzi yatakayotusukuma mbele na sio kutuyumbusha au kuturudisha nyuma.
 
Miaka inakwenda kama upepo. Tanzania tuna bahati kwamba JPM anaangalia maslahi ya nchi yetu, hebu fikiria kama angekuwa rais mwingine? Angekuwa anapiga safari za nje pamoja na kujimwambafy. Ni jukumu la Watanzania kuhakikisha hii kasi ya JPM haishuki chini na kuona kwamba keki ya taifa inasaidia kupeleka maendeleo mbele.

Ni aibu nchi yetu ambayo ina kila kitu kuanzia nishati, msimu mzuri wa mvua, utalii wa kila namna madini na mazao ya kila namna, hali ya hewa nzuri upendo umetawala hakuna kubaguana nk. Watanzania tuwe mstari wa mbele kuona keki ya taifa inawanufaisha Watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama wala dini nk. The next phase ni kuimarisha what is happening already and improve, mfano kama kwenye barabara kuweka speed cameras na kuondoa polisi barabarani maana ajali zinapoteza Watanzania wengi, hili bado ni tatizo. Vile vile kuhakikisha pesa za walipa kodi hazichomolewi na kimburu yoyote yule, nafahamu wanasema vyuma vimekaza lakini bado wapigaji wapo.

I hope when JPM is done we get another JPM's like to continue and deliver tangibles which this country has been missing.
 
Mkuu sasa hivi hii ndio hofu yangu kwa sasa kuhusu Tanzania. Ukiangalia Presidency ya JPM utaona kuwa katika miaka hii mitano iliyopita ilikuwa ni Tanzania na watanzania, ameonyesha kwa vitendo, an kuna ushahidi ambao ameweza kuonyesha kwa watanzania. Best we can do ni kumpongeza na kuomba aongeze kasi.

Tatizo la nchi yetu ni kuwa hatuna Continuity, kumbuka wakati wa Mkapa uchumi uliendelea vizuri sana, JK aliingia ukawa shaghalabagala, sasa tuna JPM tunaona kasi ya kueleweka, kila mtu anaomba baada ya JPM kumaliza miaka yake mitano, the least aje mtu kama yeye. Yes he has delivered the tangibles (and intangibles as weel) there is every reason to support him.

Members kwenye jamvi hili wanaweza kuwa na mawazo mbadala, mimi nawaheshimu ila ni kuwa naangalia picha ya jumla kwa nchi nzima, inawezekana kuna madogo madogo hayako hayajawekwa sawa.
 
Ni suala la kupanga, na kupanga ni kuchagua. Uhuru sio kitu kipya kwetu, ila inaonekana KAZI ni kitu kipya.
Tatizo ambalo nimeliona kwa Tanzania wengi ambao walikuwa wanapiga pesa za kufa mtu sasa hivi hawawezi tena kufanya hivyo. Wamejikita na kuharibu taswira ya nchi na kufikiria kwamba Tanzania ya leo itaendelea vile vile kama zamani. (only the chosen ones waendelee na status quo kushiba na kusaza. We need to be more realistic and give a chance to everybody to progress in realising their dreams. Tanzania is enough for everybody. Tusiwe wachoyo kwa kuangalia pua zetu.
 
Back
Top Bottom