Si kila ajali ni mapenzi ya Mungu

Si kila ajali ni mapenzi ya Mungu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1428987594047.jpg1428987621239.jpg1428987594047.jpg1428987621239.jpg
 
Kama mwenyezi mungu asingependa isingetokea, kila kitu ni kwa ruhusa yake yeye. . kumbuka hata hao wabaya wanamuomba yeye nae anawafanikishia. Mfano mtu anania ya kukugonga na gari, akiamua akupe mtihan kweli atakugonga, akiamua yasikukute mtu akukosa ktk hali ambayo kila mtu haamin... Trust me mkuu...
 
Kuna kitu me sio muumin wa hivyo vitu ndio maana mbishi huyu aliyetumia kasmartphone chake kuzungushia na kuuliza NINI HIKI?mbona anataka kutufanya wote tuamini nguvu za giza?
Yaani bado sijaelewa au ni ubishi wa kutokubali nguvu za giza.
 
Huyu mungu tunambebesha mizigo sana mingine hata haiwezi tunamuonea kweli kiumbe huyu wakufikirika
 
Kama mwenyezi mungu asingependa isingetokea, kila kitu ni kwa ruhusa yake yeye. . kumbuka hata hao wabaya wanamuomba yeye nae anawafanikishia. Mfano mtu anania ya kukugonga na gari, akiamua akupe mtihan kweli atakugonga, akiamua yasikukute mtu akukosa ktk hali ambayo kila mtu haamin... Trust me mkuu...

Sijakuelewa
 
Ajali magonjwa umasikini njaa na vingine kama hivyo si mapenzi ya Mungu vyote na vinaletwa na mfumo wa maisha ya binadamu unaotawaliwa na shetani,MUNGU wakati wa uumbaji hakusema wewe utakuwa masikini na wewe utakuwa tajiri ni mfumo tu wa maisha uliowekwa na watu na unaosimamiwa na watu.
 
Hoja kama hizi ndio zinazozalisha watu wasioamini Mungu wengi,...
 
Ajali magonjwa umasikini njaa na vingine kama hivyo si mapenzi ya Mungu vyote na vinaletwa na mfumo wa maisha ya binadamu unaotawaliwa na shetani,MUNGU wakati wa uumbaji hakusema wewe utakuwa masikini na wewe utakuwa tajiri ni mfumo tu wa maisha uliowekwa na watu na unaosimamiwa na watu.

Kwa mfano umasikini wa Tanzania unaletwa na sisiem,

nimepatia?
 
Kama mwenyezi mungu asingependa isingetokea, kila kitu ni kwa ruhusa yake yeye. . kumbuka hata hao wabaya wanamuomba yeye nae anawafanikishia. Mfano mtu anania ya kukugonga na gari, akiamua akupe mtihan kweli atakugonga, akiamua yasikukute mtu akukosa ktk hali ambayo kila mtu haamin... Trust me mkuu...
huyo mungu anayeruhusu watu kuuawa na mashetani huyo si Mungu wa Ibrahim Isaka ya Yakobo (israel), ni mungu chinjachinja. kwanini kila kitu hata kama ni cha mashetani huwa mnamsingizia Mungu, ati hakuna kifo ila alichoruhusu mungu, hata wale wa ISIS na boko haram mnasema ni mungu ameruhusu. imani hizi?
 
mshanajr hebu fafanua hiko ni nini lilichozungushiwa round. Kama ni shetani au mzimu au mchawi je anaweza kuonekana kwa naked eyes mpaka apigwe picha?
 
Last edited by a moderator:
Kitu kimoja nichangie kama nitaeleweka, hako kajitu kalikozungushiwa au huyo mnyama wa ajabu kama kweli ni mambo ya kichawi, mazingara je vingeweza kupigwa picha kwa hizi kamera/smartphone alizotengeneza mzungu?

mshanajr hebu fafanua hiko ni nini lilichozungushiwa round. Kama ni shetani au mzimu au mchawi je anaweza kuonekana kwa naked eyes mpaka apigwe picha?

At least mmekuwa na argument tofauti, ukisoma heading sikuzungumzia chochote cha nguvu ya giza zaidi ya hizo images zizizozungushiwa maduara, kumekuwa na michango mingi tofauti kuonyesha kuwa tayari watu wanaamini/wanaulewa na mambo ya giza
Sasa tunatakiwa tuingie hatua ya pili ya kuhoji uhalisia wa hicho kinachoonekana hapo pichani
Kuna post moja iliyohusu uhanithi nikaelezwa kuhusu jini kuwa ana mwili wa moto(miali) na umbo lake hujipambanua ndani ya moto sasa je hicho kinachoonekana hapo ni jini kweli au ni perceptions zetu tuu? Huu ndio mjadala
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom