MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,214
- 43,746
Wakuu wote tunafahamu kwa imani yangu ya kikristo kila kinachotokea huwa ni mipango ya Mungu. Liwe jambo zuri au lenye maafa huwa ni mpango wake. Ikitokea ajali watu wakafa ni mpango wake. Wakipona pia ni mpango wake. Sasa mimi leo nimeona niwakumbushe mipango yake ambayo kibinadamu ni ngumu kuisahau.
1. Ajali ya basi la lori Morogoro iliyoua zaidi ya watu 28 hapohapo.
2. Ajali ya kuporomoka ghorofa Kariakoo na kuua watu wengi.
3. Ajali ya MV Bukoba iliyoua mamia.
4. Tetemeko Kagera
5. Mvua tunazotarajia za El Nino ambazo nazo zitaleta shida sana ikiwemo njaa.
6. Ajali ya treni Dodoma iliyoua mamia.
7. Chama kisichotaka amani nchini CHADEMA.