Si kila ajali ni mapenzi ya Mungu

Si kila ajali ni mapenzi ya Mungu

huyo mungu anayeruhusu watu kuuawa na mashetani huyo si Mungu wa Ibrahim Isaka ya Yakobo (israel), ni mungu chinjachinja. kwanini kila kitu hata kama ni cha mashetani huwa mnamsingizia Mungu, ati hakuna kifo ila alichoruhusu mungu, hata wale wa ISIS na boko haram mnasema ni mungu ameruhusu. imani hizi?

Ni huyo huyo mungu wa isaka,yakobo,issa bin mariam, muhhamad, mussa n.k. ni mungu huyo huyo m1, ndio hata hao boko haram,ISIS,alshabab pia wanafanya kwa kumuomba huyo huyo, na wabaya wanafanikiwa kwa yale wayaombayo, hv km ingekuwa wabaya wakiomba mola anawanyima dunia ingekuwaje, moto na pepo ni vya kazi gani, mitume ingeshushwa kugundua nin, shetan wa kaz gan ... Hata kaz za kishetan ni kwa ruhusa yake, we huon mtu anaiba na anakamatwa...
 
Ndiyo maana kuna wendawazimu wanahusisha hizi ajali na uchaguzi lakini ukiomba wathibitishe wanakimbia uzi.

Nime-zoom lakini sioni cha mno zaidi ya kile nilikiona kabla ya ku-zoom.

Signature yangu inahusika.
 
Halafu kama kila kitu tayari kimepangwa na Mungu sasa kuna haja gani ya kushinda mnamuomba ilhali tayari kesha panga?

Huku si kupoteza muda tu.

Wale wa Garisa waliomba awaokoe lakini wapi, waliuwawa wengine wakiwa wamepiga magoti.

Sasa kuna haja gani ya Kumuomba??

Kwamba hujibu kwa muda wake yaani hata adrenaline hormone inamzidi kwa kuwa punctual wakati wa emergency.
 
Asa mshana.... Hapo mbona kwenye matairi ni kawaida.....
Hapo n kwenye matairi asa moto lazma uwake kwa shape hiyo.....
Na hako kadude..... Mbona pic nyingne hazna.... Halaf.... Jin anpigwa picha..?
 
Watch out, Mungu haungumzwi hivyo. Kama mimi nakutania utanibip siku utakapo pata majawabu, or utakuwa haupo duniani
 
This is a questioning generation hakuna namna lazima tuhoji maana tusipohoji hatutaujua ukweli.

Halafu hii mikwara imefanya wengi wenu muwe mazuzu kiasi kwamba viongozi wenu mf. Kibwetele kuwachoma moto kama kuni maana mmeaminisho kuhoji ni kukufuru.

Halafu kama Mungu kesha panga kila kitu juu yangu so mikwara yako ni useless.
 
Sio mkwara mkuu, just wait
 
Asa mshana.... Hapo mbona kwenye matairi ni kawaida.....
Hapo n kwenye matairi asa moto lazma uwake kwa shape hiyo.....
Na hako kadude..... Mbona pic nyingne hazna.... Halaf.... Jin anpigwa picha..?

Hebu angalia picha tena na maneno yaliyopo hakuna conclusion yoyote bali kuna swali la hiki ninini?
Hii ya kusema ni jini ni perception na tafsiri binafsi
 
Mpare mbishi wewe, lakini huyo jamaa alieseme kichwa yako haina kitu akiri tu hajafanya poa kwa wanaokujua kwa mambo unayoyafanya humu kwenye jukwaa. Lakini changamoto kama hizo ni za kawaida great people a judged by their character not by being faultless.
 
babacollins natetea hoja yangu hiyo ni haki yangu, soma heading sijataja jini, soma post haitaji jini
Hivi vitu viwili vina mwelekeo wa kimjadala zaidi kuliko majibu ya moja kwa moja kuwa hiki kinachoonekana ni kitu fulani
Ningeweza kuweka heading yenye kutoa majibu ya moja kwa moja pengine post ingekosa msisimko au ndio mjadala ungenoga zaidi, kitu hicho hicho kimoja unaweza kukitengenezea headings zaidi ya kumi, ni vile tu mtu unavyotaka mjadala uwe wa namna gani
Kuhusu huyo aliyetoa kashfa si tatizo kwangu kwakuwa kwa mtazamo wake na conclusion aliyofikia hicho ndio aliona aposti, ni jukwaa huru hivyo hatuwezi kufanana
 
Last edited by a moderator:
Nilishajiambia ndio maana nikapost na wewe ukareply

we all know your sound mind mkuu...we dont know about the guy who is arguing with you..sounds like bongoflava techniques to me..anzisha beef na superstar then utachange from being underground to a "known"

achana naye huyo
 
Naomba kwanza ieleweke kuwa kuna tofauti kubwa kati ya "kupenda" kitu kitokee na "kuacha" au "kuruhusu" kitu kitokee...hakuna baya lolote ambalo laweza kuwa mapenzi ya Mungu..Mungu siku zote anapenda yaliyo mema tu hivyo kitu kibaya kusema ni "mapenzi" ya Mungu ni kosa (hata kama ni la lugha tu)

Then ni kwamba Mungu hayupo concerned na every single details za events hapa duniani...He is rather concerned with meaningful events ambazo zina impact katika maisha ya mwanadamu, ambazo in one way or another zinaweza kuleta positive results, salvation na vitu kama hivyo..mengine just happens kwa kuwa Mungu katupa utashi na uamuzi wa kutenda mambo akijua kuna mahali tutatakiwa kujibu.

Kuna wakati Mungu huacha ubaya utokee...narudia "huacha" sio "hupenda" pale ambapo huo ubaya utabadili maisha ya wateule wake (aidha watu au taifa)
refer Joseph kuuzwa na ndugu zake
Joseph kusingiziwa kubaka n.k kwa msingi kuwa "ultimately all things work for the better of those who love the Lord" lakini otherwise things just happens.

Kuhusu images hizo ni kwamba almost in every image you will find another image according to your power of perception..ukiuangalia mwezi ndani yake waweza kuona image kama ya mbwa, mama kampakata mtoto n.k...likewise nenda kwenye msitu wenye miti mikubwa na utashangaa kuona images katika miti..image kama watu wanaojamiiana (kuna picha kwenye jamii photos: topic "misitu yetu" nadhani), kuna image kama kichwa cha farasi kwenye mashina ya miti..kuna ile miti inayoning'iniza miziz toka juu..unaweza ona picha kama kidevu kina ndevu ndeefu zinashuka kwenda chini

Ukitembea gizani na hususani kama we muoga "utaona" maumbo kama ya mbwa na simba kutoka kwenye silhouettes za vitu..teha unaona wanatikisa masikio na mikia! au wanacrouch tayari kukurukia...they are all created in mind and not the real things.

Ukisikia rumours mwanamke kajifungua chura, nenda hospital ukaangalie..utakachokiona ni kiumbe ambacho kutokana na sababu mbalimbali za kibiologia kimekuwa deformed tumboni na kusababisha kitoke kikiwa na shepu undefined ambapo kila mtu atakiita kama macho yanavyomuonyesha.

Bottom line ni kuwa hakuna uchawi wala supernatural power..the only supernatural powers come from God na huwa hazi-bestow kwa evil people

Naomba kuwasilisha
 
Asante kwa msaada na ufafanuzi mzuri Capt Nemo
 
1429087921329.jpg1429087988235.jpg
 
Back
Top Bottom