Si Jambo La Kawaida ...

Si Jambo La Kawaida ...

Mmmh, hizi story za kila kuchapo watu wanareport wametembea na wake za watu zinatupa wasi wasi sana sisi ambaye wake zetu wanafanya kazi hadi usiku. Naanza kujiona naingia wivu usio wa kawaida. Tunaweza achisha kazi wake zetu hivi hivi. Maana kila siku watu wanaleta story za wake za watu. Hatujui pengine wanakula wake zetu huko. Na wala sijui kimetokea nini hivi sasa, maana wake za watu na wenyewe wamekuwa cheap kuliko wanawake ambao hawajaolewa? Kulikoni jamani?
 
Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii

Maana ni moja tu, amezama katika dimbwi la ufirauni na uzinifu pamoja nawe
 
mkishanasana ndio atataja jina la mumewe kila saa
 
sasa unataka imaanishe nini na wakati huyo mke wa mtu??kwamba anakupenda sana ndo mana kataja jina lako ama,,mke ya mtu sumu kila siku tunasikia,we hujawahi kusikia hiyo
 
shetani anaendelea kupepeta watu kama ngano, anajua ndoa zikiwa na amani basi kila kitu kitaenda sawa sasa anaamua kucheza na uvunjaji na ndoa zetu na sisi tunamruhusu, mana mwenye mke akijua si balaa tayari kama akiamua waachane na wana watoto ndo balaa zaidi mparaganyiko wa familia, hivi kwanini watu hawapendi kutulia na ndoa zao? mlilazimishwa jamani, angalia ndugu hiyo laana ya kutembea na wake za watu shauri yako
 
kumbe alikuwa mke wa mjomba wako
una laana wewe?

Kuna nyakati Smile huwa unanifurahisha sana. Umeunganisha hii mada na ile kuleeeee, ya mmiliki huyuhuyu. Yaani huyu dogo ni pepo, nashangaa kwa nini ujuha wake anauleta online namna hii!
 
Last edited by a moderator:
huyo atakuwa mzoefu tu na ni kawaida sana!! ila acha huo mchezo wa wake za watu kaka!!
 
unalala na mke wa mtu halafu unajiona mjanja kakutaja jina lako......shauri yako katubu kwa mumewe huyo mama kisha kwa Mungu wako!
Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii
 
Chezeyaaa wanawake wewe!!!! Ataje jina lako ili iweje? Halafu kwa hisia nani kakudanganya ww? Women are the best pretenders!!! Unachunwa tu babu!halafu uache uzinzi wako kabla makubwa hayajakufika.
 
Aisee nyie ndo mnatuaribia ndoa zetu ole wako utie kwenye shimo la mke wng alafu nikufume.

Tuombe MUNGU tusifuge mamluki tu...hawa watu ni kama wamefungwa mashine huko chini zinawatekenya these days..
 
Uwe unatembea na K-Y jelly,kuna siku wenye vyao wata kula 0655......ikiwa kavukavu utaumia sana,zingatia ushauri huu....
 
Back
Top Bottom