Si Jambo La Kawaida ...

Si Jambo La Kawaida ...

kha mwana una hatari wewe...mke wa mtu...vipi ulitumia ndom?
 
labda alishawahi do na mtu mwenye jina kama lako na perfomance yake ilikuwa exceptional, so imetokea kama coincidence amekutana na wewe mwenye jina kama lile.... by the way kwanini mnapenda kuchukua wake za watu? angalia yatakukuta kama yule jamaa wa temeke
 
Wewe ndio ulikuwa unafanya naye ulitegemea ataje jina la mmewake kiaje, wewe ulidanganywa nini kuwa atataja jina la mmewe hakuna hiyo kwa mwanamke makini hataji ng'o. Lakini kwa nini unatembea na wake za watu wewe????? angalia utapata shida.
 
Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii

Hizo ndio dalili za kunasa humo2 ! ungeendelea kwa dakika kama tano hivi usingechomoka tena !!
 
Maana yake ni kwamba huyo ni malaya aliyekubuhu!!.

Huyo mwenye mume ana hasara ilioje!
Wanajamii kiume/kike tuachane na kuwa-do wasiokuwa mali zetu, tushingae tunadoiana humu wenyewe kwa wenyewe
halafu mtu anaangusha bonge la like!!
 
Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii



sasa cha ajabu nini hapo?

Hata akiwa na mumewe analitaja jina lake kwa hisia kali.....

.....
 
Duh!..Sometimes i have to thank God for being member in this Forum..lol
I think this is what i can say for now..lol
 
We baba weweeeeeeeee! MKE WA MTU JAPO MATAMU ILA NI SUMU KALI HATA KAMA PANYA HAIUI!!!!! Binadamu akilamba tu lazma ANASE!!!!!!!!! We jibinafsishie na kufaidi tu huo UTAMU WA MWANAUME MWENZIO!!!!!!!! Ila jua tu KILA MTENDA HUTENDWA!!!!!!! Na wewe wako watajibinafsishiaa tu.
 
Ujue na mkeo watu wanapitia, naye hutaja jina la jamaa kwa hisia.
 
umeona eee SnowBall maana huku kuna ugoro ulaya na ugoro kichuguu iyo michanganyiko lazima upate super mix!

Duh!..Sometimes i have to thank God for being member in this Forum..lol
I think this is what i can say for now..lol
 
Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii
Mwenye sifa za kuwa mke wa mtu hafanyi hivyo ila kuna walio jibanza kwa wanaume ila hawana sifa za kuwa wake, kama amekuja kwako ji ulize amepita kwa wangapi
 
kila unavyo pata raha ujue bibi yako nae apigwa zaidi so kua mpole!je? wew ukamkuta mkeo apigwa na na inataja jina lako lkn kwa kulituc! we utafanya nn!acha huo uchafu mkuu!
 
Huku noumer..nimecheka kwa sauti niliposoma majibu kwenye hii thread..nikashindwa hata nichangie nini..
umeona eee SnowBall maana huku kuna ugoro ulaya na ugoro kichuguu iyo michanganyiko lazima upate super mix!
 
We ngoja unase ili ukome uone kama atapata muda wa kutaja hata herufi ya kwanza ya jina lako.
 
Mwizi pekee anayejitangaza alikua anataka amtaje mumewe halafu aje na story tofauti.

Huku noumer..nimecheka kwa sauti niliposoma majibu kwenye hii thread..nikashindwa hata nichangie nini..
 
Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii

Aisee nyie ndo mnatuaribia ndoa zetu ole wako utie kwenye shimo la mke wng alafu nikufume.
 
Back
Top Bottom