Shy-Rose awapa vidonge wanafiki wote!

Hawezi kuhama CCM kwasababu atakosa viposho vya Lowasa kutokana na kumshikashika masaburi baada ya kumnyeshwa Savana.

kha...lowasa naye anakosaga wa kushikashika masaburi?..huyu demu ni used na near expire date hawezi kuwa na masaburi teketeke.
 
Vp unapanga kum-kolimba? Au kum-sokoine? CCM mnatumia kila aina ya umafia kuwazima watu wasiseme ukweli.

Huyu dada hana maadili kabisa...dawa yake ipo jikoni lakini, soon atavuna alichokipanda
 
Raha ni kuwa mwanachama wa chama kinachoshinda...kama haupo CCM, u are in the looserz side

rejao MASABURI yako yamejaa NAPE. raha ni kuwa mwanachama wa chama kinacholeta maendeleo... lakIni hivyo ndivyo wengi wa magamba mnadhani siasa ni kama mambo ya simba na yanga.......pia mnadanganyana na madhumini yenu hasa linalosomeka "kushinda kila chaguzi" ---- hata kwa gharama zozote.

Shyrose kaza buti kwa mbali nakuona ukiwa na kombati, mstari wa mbele ukiwa umeikamata kinondoni....kushoto kwako halima mdee pale kawe...kusini mnyika pale ubungo.......temeke....????
 
sio bangi tuu alikuwa mlaji mzuri wa madawa ya kulevya,kwa ushauri wangu njoo upoze machungu chadema na hawala yako sugu kiboro dinda anakusubiri kwa ham
 
Yeye mbona hakuyasema wazi ya kuachana na Japharay kwa kuwa alitembea na Sugu? huyu dada anajulikana kwa kuvuta bangi ! nawashangaaa NMB ndio wamemuweka Public relations officer wao mtu wa namna hii. Hii inapunguza hata reputation ya bank infront of public image
Kwetu Mara bangi ni mboga,huoni vichwa vya uko jinsi vinavyotema point eg.Taata wa Taifa
 
rejao MASABURI yako yamejaa NAPE. raha ni kuwa mwanachama wa chama kinacholeta maendeleo... lakIni hivyo ndivyo wengi wa magamba mnadhani siasa ni kama mambo ya simba na yanga.......pia mnadanganyana na madhumini yenu hasa linalosomeka "kushinda kila chaguzi" ---- hata kwa gharama zozote.

Shyrose kaza buti kwa mbali nakuona ukiwa na kombati, mstari wa mbele ukiwa umeikamata kinondoni....kushoto kwako halima mdee pale kawe...kusini mnyika pale ubungo.......temeke....????
Mara Nape, mara Masaburi dah..CDM wana kazi sana. Lakini siwacheki..tatizo mmekosa mbinu za ushindi. Hamuaminiki tena na wananchi.
 
Yaani anayeleta mambo kutoka facebook huku,, huwa ananikera sana.

Sasa tukuelewe wewe ni secretary au ouse gelo wake?

Yeye ameweka kule kwa fans wake, wewe unatuletea huku,,au unajipendekeza?
 
Yaani anayeleta mambo kutoka facebook huku,, huwa ananikera sana.Sasa tukuelewe wewe ni secretary au ouse gelo wake?Yeye ameweka kule kwa fans wake, wewe unatuletea huku,,au unajipendekeza?
thetehetehteht ! msumari huooooo!!
 
Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya vibaya kwanini msiseme ukweli hadharani?

Wengine wanadiriki hata kuwa na accnt 2 au 3 kwenye fb, moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli kuhusu chama..mnachoogopa ni kipi? kwa nini hamtaki kuwa majasiri? au hamjiamini???
KUDADADAIKYI"...

Tatizo lake ni kubaki kuwa mwana-CCM mimi simtofautishi na Rostam aliyesema kuwa anaachia nafasi zote kwenye chama na serikali kwa sababu ya siasa uchwara halafu baadae akashindwa kujizuia kukipigia kampeni hiki chama uchwara....
 
Shyrose naye ni KADA kumbee???yaanii kundi moja na kingunge,malecela,kisumo,mangulaa..nk.........
 
Huyu dada hana maadili kabisa...dawa yake ipo jikoni lakini, soon atavuna alichokipanda

Akili zake haziko sawa sio mzima kabisa shyrose,kwanza hajieshimu atafute tu mume aliefiwa na mkewe aolewe aache kuangaika na viserengeti boys
 
Yeye mbona hakuyasema wazi ya kuachana na Japharay kwa kuwa alitembea na Sugu? huyu dada anajulikana kwa kuvuta bangi ! nawashangaaa NMB ndio wamemuweka Public relations officer wao mtu wa namna hii. Hii inapunguza hata reputation ya bank infront of public image

Ur on point mkuu,bangi ndio chakula yake kweli NMb inaalibu reputation ya bank
 
Mtamsema, mtamchukia, mtaingiwa wivu na uchu wa kimasaburi na kadhalika lakini huyu dada ni mmoja kati ya vijana wachache sana wanaoweza kusimama na kusema ukweli bila kuogopa. Ujasiri huo wengi wenu hamna isipokuwa mapenzi na midhamu ya woga kwa vyama vyenu. Tunawahitaji kina ShyRose zaidi ya wanafiki wanaojificha nyuma ya mapazia kwa kuogopea ajira zao.
 
Hana jipya, anatafuta tuu popularity ili apenye 2015..!! Nadhani yuko obsessed na ubunge so ameamua kufa kijerumani..!! Chama chake yeye nani..!! kama anaona kinazidi kuchoka na yeye sio gamba si ahame..!! nani kamwambia kuwa magambaz ni kabila au ukoo ambao hauhamiki..?? Karibu oposition..
 
Mtamsema, mtamchukia, mtaingiwa wivu na uchu wa kimasaburi na kadhalika lakini huyu dada ni mmoja kati ya vijana wachache sana wanaoweza kusimama na kusema ukweli bila kuogopa. Ujasiri huo wengi wenu hamna isipokuwa mapenzi na midhamu ya woga kwa vyama vyenu. Tunawahitaji kina ShyRose zaidi ya wanafiki wanaojificha nyuma ya mapazia kwa kuogopea ajira zao.
Well said Mkandara!....hata mie nilishasema kwenye post namba 2 au namba 3 kuwa huyu binti ni shupavu sana na mpambanaji wa ukweli!. Alafu
yote tisa, kumi huyu dada anamvuto kwa vijana kama wakina Halima mdee,Mnyika,Lema,Sugu nk. Leo ccm wanamuona huyu dada ni mbaya
sana kwakuwa anawaeleza ukweli' lakini siku akitua CDM, am sure magamba wataisoma namba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom