sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,160
- 4,281
Trump ndio mwenye matatizo yakutaka kubaka demokrasia ya Marekani.
Lakini licha kuwateua baadhi ya majaji wa mahakama kuu,Makamu wa Raisi,Vigogo wa Taasisi za usalama na Ulinzi lakini walimkatalia kata kata kupindua matokeo.
Hii inadhihirisha Miimili ya Bunge,Mahakama,Tume ya Uchaguzi ya Marekani ni huru na hazilambi executive kama ilivyo mataifa mengine hasa Afrika.
Mleta mada kuna wakati umejichanganya katika maelezo hayaendani ni kichwa cha habari.