Shunshaa Trump, Trump has finished. Somo kwa CHADEMA, ACT Wazalendo na ulevi wao kwa wazungu

Trump ndio mwenye matatizo yakutaka kubaka demokrasia ya Marekani.
Lakini licha kuwateua baadhi ya majaji wa mahakama kuu,Makamu wa Raisi,Vigogo wa Taasisi za usalama na Ulinzi lakini walimkatalia kata kata kupindua matokeo.
Hii inadhihirisha Miimili ya Bunge,Mahakama,Tume ya Uchaguzi ya Marekani ni huru na hazilambi executive kama ilivyo mataifa mengine hasa Afrika.
Mleta mada kuna wakati umejichanganya katika maelezo hayaendani ni kichwa cha habari.
 
USA is clearly heading downwards FOREVER ,to put it more succinctly, USA is at the peak of long-standing deterioration.
 
... una tatizo moja; unadhani Marekani ni Trump na Trump ni Marekani! Unakosea; Marekani sio Afrika. Marekani ni taasisi imara, huru, na zinazojitegemea; zinazoweza kumdhibiti Rais au kiongozi mwingine yeyote yule. Trump hana ubalozi; Marekani ina balozi.
The beggining of endless wars and power struggles in America.
 
Chadema na Act kila uchwao kwenda kunywa chai ubalozi kwa Trump,hivi mmesahau kuwa hao ndio waliomuua Gadafi aliyeongoka na kutaka kuanzisha Jeshi la Afrika,Benki ya Afrika,lakini ninyi bado kosa kidogo tu udhaifu mnaenda kulilia ubalozi wa Marekani,shame!
Akili huna.

Unashindwa kujua huyo Ghadaf alileta majeshi yake Ugabda kushirikiana na Idd Amini kwaajili ya kuua ndugu zako.

Ndio maana nakwambia, HUTAPATA TEUZI, Tafuta KAZI HALALI.
 
1. Andiko refu lakini lenye mchanganyiko wa hoja kiasi cha mtu kushindwa kuelewa mwandishi specific anataka msomaji apate ujumbe gani...

2. Kumhusianisha Donald Trump na CHADEMA ama ACT - WAZALENDO sidhani kama ni sahihi kwa sbb CHADEMA/ACT WAZALENDO ni taasisi na Donald Trump ni mtu mmoja...

3. Ungeeleweka vizuri sana ungemhusianisha Rais Donald Trump (USA) na Rais John Magufuli (Tanzania) wao wawili kama binadamu na tabia zao na nchi wanazoziongoza...

What you did, it's pseudo relevance...
Chadema na Act were dancing on the tune of Trump Administration,yuko wapi Pompeo!? Wapi Trump!!? Chadema na Act hawakufanya research ya neno Demokrasia ni nini, Chadema hawakujua kwamba Mzungu hasa mmarekani hana "win win situation kwa mwafrika"
 
Akili huna.

Unashindwa kujua huyo Ghadaf alileta majeshi yake Ugabda kushirikiana na Idd Amini kwaajili ya kuua ndugu zako.

Ndio maana nakwambia, HUTAPATA TEUZI, Tafuta KAZI HALALI.
Gadafi ni Pan Africanist na kwa hilo hasingeweza kupendwa na Wazungu kamwe,ndio maana walimuua kwa sababu alikuwa na maono ya kuikomboa Afrika.
 
SHUNSHAA TRUMP,TRUMP HAS FINISHED,SOMO KWA CHADEMA, ACT WAZALENDO NA ULEVI WAO KWA WAZUNGU.

Leo 13:15hrs 10/01/2021

Nimejifunza mengi baada ya kusoma vitabu vya "Pan Africanist" kama Chachage Chachage,Haroub Othman,Issa Shivji na Bashiru Ally,Let me say "Writing is on the Wall" kila mwenye jicho na aone yanayotokea Marekani,Chadema na Act were dancing on the tune of American,Chadema na Act hawakufanya research ya neno Demokrasia ni nini, Chadema hawakujua kwamba Mzungu hasa mmarekani hana "win win situation kwa mwafrika" Trump Mimi namuita kilaza ndio maana hata Chuo cha Lehigh University has rescinded the honorary degree it awarded to President Donald Trump more than 30 years ago,that means the real American President could be the like of Jimmy Carter,whose speech was authority to the World,

Chadema na Act wameipenda Demokrasia ya Marekani na kuichukua,Mimi naiita Demokrasia ya Marekani ni "Political Masterbation" lakini Chadema na Act wameamua kuichukua kwa vile inafanywa na Wazungu,leo Tindu Lissu na Lema wanaishi Ulaya baada ya kumalizia kazi ya kutumwa kuharibu nchi zao,Sasa kwa nini leo Upinzani umekufa!? Jibu linatoka kwenye

1-Behavior ya Marekani aliyoonyesha Trump ambayo Chadema na Act waliipokea tabia hiyo.

2.Tabia ya mtumwa wa wazungu Tindu Lissu ambae hana tofauti na Mhuni Bob Wine kule Uganda.

3.Muungano wa CCM na Act kule Zanzibar,Kuna watu hawajui kama Zitto na Seif ni opportunist.

4.G19 kuapishwa baada ya ofisi ya Katibu Mkuu wa Chadema kusaini na kutuma majina yao Nec.

5.Kujiuzuru kwa Bernard Kamilius Membe na pengine kurejea CCM.

-Shunshaa Trump ni sentesi ya kichina inayomaanisha Trump amekwisha.

Trump anakuwa Rais wa kwanza tangu Andrew Johnson 1869, kugoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais anayemkabidhi kijiti hata kudiriki kujaribu kugoma kutoka madarakani,Heshima ya Trump aliyojijengea ujanani anaipoteza uzeeni,Heshima ya Marekani iliyojengwa kwa Miaka 232 Trump anataka kuivunja kwa Miaka minne tu,Inawezekana Trump ndiye rais bora kabisa Mzalendo kwa nchi yake kuwahi kutokea Marekani,lakini ameonesha rangi halisi za beberu,bwenyenye,kabaila,mpinga Demokrasia na mkoloni.

Pengine Trump aliona ni muda sasa wa kuwa Mzalendo kwa Taifa la Marekani na kusalia Madarakani kama inavyoonyeshwa kwa Wazalendo Rais Putin wa Russia, Mzalendo Kim wa North Korea, Ayatollah Khemei wa Iran, Sultan wa Saudi Arabia au kama aliyekuwa Emperor Jean Bokassa wa Central African Republic,na pengine kama Mzalendo Mussolini,Huyu ndiye Donald Trump,Rais wa Marekani aliyekuwa akiweka vikwazo kwa nchi za kiafrika ambazo Marais wake walikataa kutoka Madarakani,Trump aliongeza vikwazo kwa Zimbabwe,Trump aliweka vikwazo Nigeria,Trump aliweka vikwazo Tanzania,Trump aliweka vikwazo Sudani,Trump aliweka vikwazo Irani,lakini leo kwa anachokifanya Donald Trump,Third world countries like Tanzania are by far more democratic & constitutional than US of Donald J. Trump.

Tafsiri ni kuwa Trump bado hakubaliani na ushindi wa Joe Biden katika uchaguzi uliokwisha kupita.Trump ni king'ang'anizi,yaani kwa watu tulio na roho nyepesi tungekua tushakata tamaa na kuachia, ukisemwa kidogo tu unanuna na kuachia madaraka unasema shauri yao Mimi nilitaka kumake America Great Again ila wamekataa,hii ni tofauti kwa Njemba Trump limetukanwa na vyombo vya habari, maandamano yamefanywa dhidi yake, mitandao ya kijamii imerindima matusi kumuhusu lakini yupo yupo na tena ndio anawasha mzuka,anawezaje kupata usingizi huyu ndugu Donald Trump!?

Trump anakwenda kuacha doa Marekani ambalo itachukua muda kuja kufutika,pengine hii ni laana kutoka Afrika baada ya kuuawa kwa George Floyd kwa kuwekewa goti shingoni"I can't breath" kwenye sala za Trump wakati wa Uchaguzi,walisikia wakiamuru malaika kutoka Afrika kwenda kuwasaidia "All Angel of God from Afrika,come and intervene"hili ni neno la rohoni sana na walijua tayari Wana laana kutoka Afrika baada ya kutufanyika hila nyingi,kututesa,kututukanana kutuibia hata walipotuambia tutakufa kama kuku kwa sababu ya corona,hao Angel from Africa waliokuwa wanawaita waliichukua corona kutoka Afrika na kuipiga kwao na Afrika kunusurika na corona,

-Kuminywa kwa Demokrasia na Uhuru wa Vyombo vya habari.

Trump na kulinganisha na nchi zetu za Afrika wamekuwa wakituambia tunaminya uhuru wa vyombo vya habari,Sasa Vyombo vya habari vimefungia Wafuasi wa Trump na Trump mwenyewe,and Trump was real a Twiter man,Sasa Trump atakuwa na maisha magumu sana nje ya Twitter,

Uongozi wa Twitter umeifungia maisha akaunti ya Twitter ya Rais wa Marekani anayemaliza muda wake ndg. Donald Trump kwa kuhamasisha fujo na migomo katika jiji la Washington wiki iliyopita. Akaunti ya Donald Trump yenye jina la @realDonaldTrump (twitter.com) ndio akaunti ya sita duniani kuwa na followers wengi ikiwa inafuatiliwa na takriban watu milioni 90. Akaunti hiyo ukiitembelea sasa unakutana na neno "ACCOUNT SUSPENDED"

Tweets zilizopelekea Twitter kumfungia Trump ni hizi hapa

On January 8, 2021, President Donald J. Trump tweeted:

“The 75,000,000 great American Patriots who voted for me, AMERICA FIRST, and MAKE AMERICA GREAT AGAIN, will have a GIANT VOICE long into the future. They will not be disrespected or treated unfairly in any way, shape or form!!!”

Shortly thereafter, the President tweeted:

“To all of those who have asked, I will not be going to the Inauguration on January 20th.”

Mtu mwingine ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kutuma ujumbe mfupi kusema kuwa anataka kumpiga risasi spika wa bunge, Nancy Pelosi. Cleveland Grover Meredith, Jr., aliyefika Washington DC siku moja kabla ya tukio la siku ya Jumatano alimtumia ujumbe mfupi mwenzake akisema kuwa anataka "kumpiga risasi [Pelosi] kichwani wakati matangazo mubashara ya televisheni yakiendelea" huku katika ujumbe mwingine akisema kuwa anaenda Washington akiwa na silaha za kutosha. Polisi wamesema kuwa Meredith alipamba ujumbe wake kwa kutumia 'emoji' za shetani huku akitumia maneno yanayoashiria viungo vya mwili wa mwanamke kumtaja Spika Pelosi.

Watu watano wamepoteza maisha, akiwemo mwanamke mmoja aliyetaka kuingia kwa nguvu ndani ya ukumbi wa mikutano wa jengo hilo la bunge, pamoja na polisi mmoja aliyefariki akiwa hospitali kuuguza majeraha yaliyotokana na kuvamiwa na kundi la wafuasi wa Rais Donald Trump walipokuwa wakitumia nguvu kupita vizingiti vya polisi waliokuwa wakilinda eneo hilo. Watu wengine 67 wamekamatwa huku 13 wakifunguliwa mashtaka kufuatia tukio hilo

Sasa Waafrika yetu macho, wakizichapa wao kwa wao itakuwa fundisho kubwa kwao Wamarekani ili waone chungu na fitna walizofanya kwa nchi zetu za Afrika,

-Kuondolewa kwa Rais Trump Madarakani kabla ya siku 10 za muhula wake kuisha.

1. Impeachment of Donald Trump is inevitable

2. And then linching will intensify even more

3 US is clearly heading downwards FOREVER -- to put it more succinctly, USA is at the peak of long-standing deterioration.

4. China is the next hyper-politico-economic power in the world, Tanzania has seen it.

5. Socialism and communism are resurrected to replace capitalism, as a leading political system. It fails miserably. Then there are endless wars and power struggles.

Trump amekuwa kama muhubiri,mchungaji,katekista anayehubiri tusitende dhambi halafu baada ya hapo anatongoza muimba kwaya au Sheikh anayehubiri tuache dhambi halafu anabaka msikitini,Trump alitaka kuiweka Republican mfukoni yeye kuwa ndiyo final say.Itakuwa jambo la afya sana kwa demokrasia ya Marekani, kwa sababu Republicans wakigawanyika hawatakaa washinde tena urais.I think wamarekani wamejifunza jambo kwa sababu madikteta dunia nzima wameshangilia sana hiki kitendo kilichoiaibisha Marekani.Madikteta dunia nzima wamejinadi kuwa Marekani haipaswi tena kunyooshea kidole madikteta.Kweli awamu hii Marekani wamepatikana. Trump kawaachia doa ambalo itachukua muda kuja kufutika.

Hili na liwe somo kwa Vijana wa sasa wa Tanzania,kama Vijana wangu Erick,Benjamin na Moris wakiwa pale Posta,wao wanajua tu when did Vasco da Gama came to Tanzania,they don't know why did Vasco Da Gama came to Tanzania!? Vijana awa hawamjui Kwame Nkrumah,hawamjui Julius Nyerere,hawamjui Dalali Ramazani aliyetumwa na Karl Peter "Mkono wa Damu" kwenda kutafsiri uongo kwa Chifu Mangungo wa Msovero na kusaini mkataba wa kuuza ardhi yote ya Kilosa hadi Bagamoyo na Tanga kwa Karl Peter's,Awa ndio Vijana ambao hata Rais amesema somo la historia lirudiwe kufundishwa kwao iwe kwenye mitandao ya kijamii kwa kuandika makala kama hivi ama kwa kualika wanahistoria kama Mh Profesa Mwaluko Kabudi katika vipindi vya redio na Television,lazima Vijana wa kileo ambao Mimi nawaita Toddlers kwenye historia wafundishwe na Maguru wa historia kila uchwao ili waweze kuwa Historian Academic Terrorist.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

  • Bachelor of Business Administration in International Business.
  • Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
- Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Acha upumbafu we mtoto. Lisu aliibiwa Kura na akatishiwa kuuawa, lema aliibiwa Kura na akatishiwa kuuawa

Acha ufala we mtoto. Kwani mnapata faida gani kutetea linchi ambalo linaharibika siku Hadi siku imebaki kupokea wageni tu nothing more. Tuliambiwa uchumi unakuwa kwa asilimia 7 Leo hii word bank wamesema unakua kwa asilimia 2.5. kwa Nini serikali inaongozwa kisanii namna hii?

Rudi kwenye point. Lema kaibiwa Kura na lisu na walitishiwa kuuawa sasa ulitaka wafanyeje? Au ulitaka wauawe kwanza ndo ujue ni wazalendo! Lisu kachapwa risasi 32 kidogo afe lakini unamuona kakimbia. Hivi nyie watu huwa mna akili kweli au vichwa vimekatwa!
 
Gaddafi, The Pan Africanist,mfalme wa wafalme, aliahidi mabilioni zaidi ya euro kuwekezwa kwenye uchumi wa bara la Afrika.
Rudi shule, uliibiwa ada.

Ghadaf kalisaidia nini bara hili, ujenzi wa misikiti ???
 
Akili huna.

Unashindwa kujua huyo Ghadaf alileta majeshi yake Ugabda kushirikiana na Idd Amini kwaajili ya kuua ndugu zako.

Ndio maana nakwambia, HUTAPATA TEUZI, Tafuta KAZI HALALI.
Ghadafi alikiri kosa la kushiriki vita vya Uganda na walisameheana na Mwalimu Nyerere,Ghadafi alionyesha moyo wake unavyobubujika Uafrika kupitia anavyozungumzia uzalendo wa Kiafrika,
 
Gadafi ni Pan Africanist na kwa hilo hasingeweza kupendwa na Wazungu kamwe,ndio maana walimuua kwa sababu alikuwa na maono ya kuikomboa Afrika.
Hii njia unayotumia kusaka uteuzi inakuvua nguo yaani andiko lako linajipinga lenyewe hata lugha tu ya Kiswahili inakushinda eti hasingeweza badala ya asingeweza. Kiingereza chenyewe unachapia tu. Kifupi hizi tuhuma zako kwa wapinzani ukizisoma katikati ya mistari zinamuumbua mtu wako na vyombo vyake vya kiutawala. Marekani ingekuwa inaongozwa kwa matakwa ya mtawala aliyeko madarakani basi Trump angekuwa anasubiri kuapishwa tarehe 20 January, lakini wamemkatalia upuuzi wake.
 
UPUUZI MTUPU!

Msomi mpumbavu
 
Back
Top Bottom