Shunshaa Trump, Trump has finished. Somo kwa CHADEMA, ACT Wazalendo na ulevi wao kwa wazungu

Chadema na Act kila uchwao kwenda kunywa chai ubalozi kwa Trump,hivi mmesahau kuwa hao ndio waliomuua Gadafi aliyeongoka na kutaka kuanzisha Jeshi la Afrika,Benki ya Afrika,lakini ninyi bado kosa kidogo tu udhaifu mnaenda kulilia ubalozi wa Marekani,shame!
 
... when did Vasco da Gama came to Tanzania,they don't know why did Vasco Da Gama came to Tanzania!?

Hiki ulichoandika hapo ni Kichina au lugha gani?

Degree fake inaonekana Tanzania zipo nyingi sana! Huyu anasema eti ana Masters degree lakini hata zile basic fundamentals za lugha aliyoitymia kufanya masomo ya degree ya kwanza na hoyo ya pili, hajui!!
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Key words ni When and why , concentrate na hivyo,zaidi ya hapo nawe ni Toddler.
 
Chadema na Act kila uchwao kwenda kunywa chai ubalozi kwa Trump,hivi mmesahau kuwa hao ndio waliomuua Gadafi aliyeongoka na kutaka kuanzisha Jeshi la Afrika,Benki ya Afrika,lakini ninyi bado kosa kidogo tu udhaifu mnaenda kulilia ubalozi wa Marekani,shame!
Marekani naona mfumo ni imara, raisi kushindwa kutetea kiti chake na kulia lia kama mpizani si rahisi kama hakuna mfumo imara na utawala wa sheria.
 
Huu ndio UCHWARA, unaongea nini wewe?. Unafikiria marekani ni Tanzania. Wao wanakaa chini wakaongea nyinyi munafanya nini?. Munaiba kura kwa ma container. Munajiita wasomi na bado muko CCM?.
 
Naona povu,wengine hawaeleei, "Toddlers" spoon feeding hamuwezi kuelewa,ninyi hadi Faru John awaeleze ndio mtaelewana nae,
Kuwa mvumilivu hapa jukwaani kuna watu wanastress kweli kweli, kwahiyo matusi yatakuwa mengi sana.

Ila bandiko lako ni zuri sana tusiwategemee wakoloni kutupangia mambo yetu wakati wao wenyewe ya kwao yanawashinda.
 
Umeandika chuki na hisia za upande mmoja.Tofautisha Trump na USA ni vitu viwili.Trump ana tabia za kiafrica za alikosea tu kutokuja jifunza mbinu za wizi wa kura afrika.
 
Kuwa mvumilivu hapa jukwaani kuna watu wanastress kweli kweli, kwahiyo matusi yatakuwa mengi sana.

Ila bandiko lako ni zuri sana tusiwategemee wakoloni kutupangia mambo yetu wakati wao wenyewe ya kwao yanawashinda.
Kama tunajishindwa kujipangia mambo yetu kujiongoza kwann tusihitaji misaada kwa wengine
 
Lipost looote nimeelewa hapa tu

Inawezekana Trump ndiye rais bora kabisa Mzalendo kwa nchi yake kuwahi kutokea Marekani,lakini ameonesha rangi halisi za beberu,bwenyenye,kabaila,mpinga Demokrasia na mkoloni.
Upinzani unajifunzaje hapo☝️
 
Naona povu,wengine hawaeleei, "Toddlers" spoon feeding hamuwezi kuelewa,ninyi hadi Faru John awaeleze ndio mtaelewana nae,
Na nyie nyumbu wa Lumumba mlioamua kusimama na jiwe badala ya kusimama na Taifa,aibu kubwa kwenu. Hivi shule ulienda kusomea ujinga?
20210111_071834.jpg
 
Bro bila kujali una BBA, naomba kuuliza tu swali nijifunze! kwani mpigania haki au mwanaharakati wa kisiasa ni mtu wa aina gani au anatakiwa awe vipi? na hatakiwi kuiga siasa ya sehemu yyte? na kushirikiana na binadamu wa nje ya nchi yko kwa maana ya msaada wa kisiasa au kifedha ili kuendeleza itikadi ili hali nchini kwako unakosa pesa ya kutosha! na je trump lissu na zitto wanashirikiana?
 
Hakika kwa hichi KIINGLISHI naelewa kwanini wajumbe walikuchinjia baharini, mwarabu akajitwalia jimbo, elimu na mwandiko havifanani!

Mluguru umejidhalilisha leo umejivua nguo!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
1. Andiko refu lakini lenye mchanganyiko wa hoja kiasi cha mtu kushindwa kuelewa mwandishi specific anataka msomaji apate ujumbe gani...

2. Kumhusianisha Donald Trump na CHADEMA ama ACT - WAZALENDO sidhani kama ni sahihi kwa sbb CHADEMA/ACT WAZALENDO ni taasisi na Donald Trump ni mtu mmoja...

3. Ungeeleweka vizuri sana ungemhusianisha Rais Donald Trump (USA) na Rais John Magufuli (Tanzania) wao wawili kama binadamu na tabia zao na nchi wanazoziongoza...

What you did, it's pseudo relevance...
 
Back
Top Bottom