Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Bado hujajibu swali! Cristiano tukisema ana kipaji maalum kila ataelewa, vivyo hivyo kwa messi,THT tukisema ni chuo cha vipaji kila mtu anaelewa!!Dah huu uzi unatakiwa uwe mbele yake ndipo utajua kwanini vinaitwa hivyo.
Sasa nakuuliza tena, hizi shule zina kipaji gani maalum??