Walimu wengi wa kawaida ila mazingira yanawashape wakomae kuwa nondo......shule km marian,na za watakatifu wengine ndio wanahakikisha wana vyote wanafunzi walimu na mazingira vyote viwe nondo!Jamani Member hili ndilo jibu SAHIHI kabisa
kuna kitu kinaitwa Pure Mathematic, Physics, Chemistry, Biology na Math ya kawaida na wanapewa waalimu pia vigongo maana wakizubaa wanaweza kufundishwa na haohao wanafunzi/
Hizi shule za siasa/siasa na kiswahili au Ualimu si za wataalamu (si za vipaji) ni kuwaandaaa wabwabwaji tu mitaani na kwennye vyama vya siasa CHUNGUZA