Hii dhana ya shule za vipaji maalum, inanipa shida kidogo kutokana na sababu zifuatazo;
Ndio, wanachaguliwa walio na maksi za juu, lakini:
- Walimu wanaofundisha ni walewale kama wa shule za kawaida,
- Mtihani wanafanya uleule kama wa shule za kawaida na kushindanishwa ni kule kule kwa vigezo vile vile.
Huu ukipaji maalum, unahusu nini haswa?