"Shule za vipaji maalum" inamanisha nini hasa?

Kwa mfumo wa maswali unahitaji uwe unaelewa unachosoma, it's obvious ukishafaham kujumlisha unafaham tu hata uzivuruge vipi numbers
Twende taratibu mkuu! Unafaham maana ya kitu kuwa maalum? Je kufaulu (tena kwa kuiba mitihani au kukariri) ni "kipaji maalum"?
 
Kwa hiyo nikisoma shule ya kata na nikapata one nzuri shule yangu ya kata itakua shule ya vipaji maalum?
Hiyo mbona simple tu zinaitwa shule za vipaji kwani zinawakusanya kina ninyi wenye wani kali,itoke kata,utakatifuni,seminaries aan popote
 
Hawajaamua tu,ila extra thing walichonacho ni best learning environment,books,teachers,hakuna kazi msosi mzuri,na akili wanazo ndio maana wanafaulu almost wooote....wanapata vipaji vyao kwa kufanya mchujo wa nguvu baada ya kujenga jina
Aisee. Unaelewa maana ya kitu kuwa maalumu?
 
Twende taratibu mkuu! Unafaham maana ya kitu kuwa maalum? Je kufaulu (tena kwa kuiba mitihani au kukariri) ni "kipaji maalum"?
Kuiba mitihan au kukariri iyo ni agenda yako mpya...usipende kubadili mada iliomezani
 
Hiyo mbona simple tu zinaitwa shule za vipaji kwani zinawakusanya kina ninyi wenye wani kali,itoke kata,utakatifuni,seminaries aan popote
Rudia tena kusoma mkuu, acha haraka. Nimesoma shule ya kata nikapata one nzuri tu, je shule yangu ya kata itaitwa shule kipaji?
 
Walikosea kuziita shule za vipaji..hizi ilboru,mzumbe,kibaha zilitakiwa ziitwe shule za wenye ufaulu wa juu..shule ya kipaji ni kama makongo sec..
Kuna mental talent na physical talent,makongo ndio physical...
 
Kuiba mitihan au kukariri iyo ni agenda yako mpya...usipende kubadili mada iliomezani
Mkuu acha haraka, elewa mada. Je kufaulu ni "kipaji maalum"? Je unaelewa maana ya kipaji maalum?
 
Rudia tena kusoma mkuu, acha haraka. Nimesoma shule ya kata nikapata one nzuri tu, je shule yangu ya kata itaitwa shule kipaji?
Na wewe elewa haraka au hauna kipaji?wewe utakuwa kipaji maalum km unaenda advance utapelekwa ukutane na vipaji maalum vingine kwenye shule za za vipaji maalum SHULE YAKO ITAENDELEA KUWA YA KATA
 
Kuna mental talent na physical talent,makongo ndio physical...
Mental talent ipo ndio ila hapa bongo hizo shule ni za waliofaulu vizuri,,..kwanini useme ni vijana ambao wana mental talent??
 
Mkuu acha haraka, elewa mada. Je kufaulu ni "kipaji maalum"? Je unaelewa maana ya kipaji maalum?
Tatizo lako Ni moja,unapenda kuzunguka mada embu hit point,kama ww unahisi unaijua maana iweke apa ,usitake kubadili swali la kujumlisha liwe la kutoa kwavile ww ni mzuri sana kwenye Maswali ya kutoa
 
Na wewe elewa haraka au hauna kipaji?wewe utakuwa kipaji maalum km unaenda advance utapelekwa ukutane na vipaji maalum vingine kwenye shule za za vipaji maalum SHULE YAKO ITAENDELEA KUWA YA KATA
Kwa hiyo hizo shule unaziita za vipaji maalum kwa sababu wanafaulu sasa kwa nn shule yangu ya kata hutaki iitwe shule vipaji maalum wakati nao wamefaulisha?
 
Tukiwa na watu kama wewe safari lazima iwe ndeeefu,define kipaji wewe basi utusaidie wengine
Sasa kama wewe unaye jiita una kipaji maalum hujui maana ya kipaji, je kuna uhalali wa hizo shule zenu ziitwe shule za vipaji maalum? Ilhali nyie tu hamjui hata maana ya kipaji?!
 
Kwa hiyo hizo shule unaziita za vipaji maalum kwa sababu wanafaulu sasa kwa nn shule yangu ya kata hutaki iitwe shule vipaji maalum wakati nao wamefaulisha?
Hakuna shule kipaji (majengo kipaji haha) ni wanafunzi wanaopelekwa hapo ndio vipaji na mizani yake au SI unit kibongobongo ni outstanding performance
 
Kwa hiyo hizo shule unaziita za vipaji maalum kwa sababu wanafaulu sasa kwa nn shule yangu ya kata hutaki iitwe shule vipaji maalum wakati nao wamefaulisha?
Mental talent ni za kina Isaac Newton..hawa hapa bongo ni wenye uwezo mkubwa wa kufaulu mitihani yao vizuri
 
Sasa kama wewe unaye jiita una kipaji maalum hujui maana ya kipaji, je kuna uhalali wa hizo shule zenu ziitwe shule za vipaji maalum? Ilhali nyie tu hamjui hata maana ya kipaji?!
Nmekuwekea na screenshot huelewi sasa labda kuna unayoijua ww ndio nataka nikusaidie kwa ulichonacho...ata yesu aliwauliza watu wa harusini mna nini?ndio kidogo kikabarikiwa ikawa divai nying(km ni christian
 
Tatizo lako Ni moja,unapenda kuzunguka mada embu hit point,kama ww unahisi unaijua maana iweke apa ,usitake kubadili swali la kujumlisha liwe la kutoa kwavile ww ni mzuri sana kwenye Maswali ya kutoa
Naona mnashindwa kunipa majibu. Mnabaki kuruka ruka tu.
 
Back
Top Bottom