KERO Responded Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga) ina Mwalimu mmoja, wengine wanashinda tu mtaani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.

Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni unawakuta mitaani tu ama wengine wanadai wanaenda kusoma lakini unawaona mitaani wanazurura.

Ufafanuzi wa Serikali ~ Ofisi ya DED kuchunguza madai ya Walimu kukwepa majukumu ya kufundisha katika Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga)
 
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.

Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni unawakuta mitaani tu ama wengine wanadai wanaenda kusoma lakini unawaona mitaani wanazurura.
Mungu akubariki Kiongozi, Nilisha wahi kuisha Maeneo hayo ... Tatizo lipatiwe Ufumbuzi kwakwel Ni changamoto kwa Vijana wetu.
 
Niliwai kusema bila walimu kuboreshewa maslahi tusitegemee chochote kwenye elimu
 
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.

Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni unawakuta mitaani tu ama wengine wanadai wanaenda kusoma lakini unawaona mitaani wanazurura.
Boresheni maslahi yao muone kama hawatashinda shuleni.
 
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.

Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni unawakuta mitaani tu ama wengine wanadai wanaenda kusoma lakini unawaona mitaani wanazurura.
Wanazurura bila kazi maalum?

Wapelekee gunia la mahindi
 
Back
Top Bottom