Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,627
- Thread starter
- #21
Alooo. Si mchezo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapicha picha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Alooo. Si mchezo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapicha picha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa/ina wezekana usalama wa nchi upo mashakani...Hivi wizi wa mitihani hauwezi kuwa chanzo cha ufaulu mzuri?
Umeongea ukweli aisee!!! Elimu ya sasa na ya zamani tofauti in paper tu mitihani ya sasa hivi haina calculation za kutisha, hadi mathematics kuna kuchangua ndiyo au hapana kwenye physics kuna maswali ya kuchangua ndiyo au hapanaWepesi wa elimu unachangia pia kwenye kufaulu vizuri watoto.
Nilisoma moja ya shule nzuri wakati wetu. Tulikuwa tunapewa kila kitu. Mitihani ikija kichwa kinawaka moto. Darasa letu la form 4 lilikuwa wa kwanza kitaifa ila div 1.7 zilikuwa chache sana. Elimu ilikuwa balaa. Unaingia kwenye mtihani unaona nyota.
Sidhani wanafunzi wa sasa wanapata ugumu kama wakati ule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanao faulu kwa mtindo huu ndiyo tunaokuja kukutana nao Mloganzika unaumwa jino unapigwa sindano ya malariaUfundishsji zamani ulikuwa manual zaidi.Kusoma kugumu.vitabu hakuna ,walimu wachache,kukariri kwingi kuliko kuelewa,shule mlikuwa mkisoma watu wazima vichwa vomezeeka kushika masomo.kugumu.
Zamani jitu miaka 20 eti liko darasa la saba
Yaani walio vichwa kama wewe Wote wameondolewaukifatilia vizuri utagundua hilo darasa wamechujwa vichwa maji wakabaki vipanga
Hata kama, labda ktk ideal conditions!ukifatilia vizuri utagundua hilo darasa wamechujwa vichwa maji wakabaki vipanga
Umeongea ukweli aisee!!! Elimu ya sasa na ya zamani tofauti in paper tu mitihani ya sasa hivi haina calculation za kutisha, hadi mathematics kuna kuchangua ndiyo au hapana kwenye physics kuna maswali ya kuchangua ndiyo au hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Impact inatakiwa uione baada ya muda gani?Ubora wa elimua hupimwa kwa"impacts" ya waliozalishwa na hio elimu.
Miaka zaidi ya 10 Marian imekua ikitoa vipanga ila huwezi ona wahadhiri wa chuo,lawyer machachari,madaktari watata,ama waanzilishi wa kampuni mbali mbali.
Division zero za Zanzibar zina impacts kubwa mno kuliko division one za Marian girls
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana.siku hizi madogo hadi calculator wanaruhusiwa kuingia nazo unakuta mtoto hajui hata kutumia 4 figure naona F zilikua nyingi sana na hawa madogo hawana tena penalt ya hesabu kama miaka ya nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kazi ulizotaja mshahara wake ukoje?nenda kaangalie hao wanaofanya kwenye mashirika ya kimataifa wametoka shule gani.Ubora wa elimua hupimwa kwa"impacts" ya waliozalishwa na hio elimu.
Miaka zaidi ya 10 Marian imekua ikitoa vipanga ila huwezi ona wahadhiri wa chuo,lawyer machachari,madaktari watata,ama waanzilishi wa kampuni mbali mbali.
Division zero za Zanzibar zina impacts kubwa mno kuliko division one za Marian girls
Sent using Jamii Forums mobile app