Yap...nimekumbuka.Mkuu dispensary ilikuwa bweni LA Benjamin mkapa
Lile lenye vyemba vizuri liko kati ya shaban Robert na Luthuli
HahahaHahahahahah mademu wa Loz tumebambia sana enzi hizo na pafyumu za kuazima
Maximo alipewa na watu baada ya marcio maximo kocha wa starz aje pale uwanja A kucheki vipaji UMISSETA na Marcus tinocoLilikuwa linajiita Maximo enzi hizo.
Kyege bado yupo yule mpuuzi hahahahahah
Mzee wa fegi
Mimi nimekuwa pale enzi zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Za Kisusange, ikaja enzi ya mpito ya Mwl Asesisye.Aisee kumbe wewe ulisoma enzi za mng'ong'o head master .
Nilikuwa pale enzi za KISUSANGE
OkayMimi mwenyewe nimesoma dampo kabisa,hata ile jengo la michezo ovyo kabisa,labda kama wamelikarabati.
Hahahahahah mademu wa Loz tumebambia sana enzi hizo na pafyumu za kuazima
Mkuu dispensary ilikuwa bweni LA Benjamin mkapa
Lile lenye vyemba vizuri liko kati ya shaban Robert na Luthuli
Aisee kumbe wewe ulisoma enzi za mng'ong'o head master .
Nilikuwa pale enzi za KISUSANGE
Sio mbeya day hioMeta sekondari ni ya wazazi wa CCM, ninayoitafuta lilikuwa ya serikali lilikuwa shule ya bweni na haikuwa mbali sana na uwanja wa mpira wa zamani ilitenganishwa na uwanja wa Raga (rugby). Au CCM ilichukua?
Shikamoo mzee wanguNiliondoka Iyunga mwaka 1969, lilikuwa inaishia kidato cha NNE.
Nshawah gombana na kyege huwa hansahau ...Bado yupo, nimetoka mby juzi nikapatia kuwapa hi kidogo
Kero ilikuwa kuvunwa mikanda kwenye scramble ya mesini, ukiwa na mtambo wa kuboil maji wewe ni mtemi..... ile baridi kali assemble ni bora kujificha darini tu.
Nshawah gombana na kyege huwa hansahau ...
Mzee wa ...
Nilianza enzi za kisusuanga assesisye alinikuta form 4 sisi ndio tulimfanya atimuliwe pale akapelekwa wizaraniMimi nimekuwa pale enzi zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Za Kisusange, ikaja enzi ya mpito ya Mwl Asesisye.
Akaja Mng'ong'o.
Nikaondoka nikamuacha Mng'ong'o, alikuwa mbabe sana yule Mwl.
HahahhaNilianza enzi za kisusuanga assesisye alinikuta form 4 sisi ndio tulimfanya atimuliwe pale akapelekwa wizarani
Mgaya alituja baada ya kutimuliwa assesisye tulivyosepa sisi naye akasepaMm nimekuwepo enzi sa kisusange, akaja bwana mmoja anaitwa Mgaya na baadae akaja Mng'ong'o.
Iyunga is good place kwa kweli
Mgaya alituja baada ya kutimuliwa assesisye tulivyosepa sisi naye akasepa
Naona mnachobishania wote hamkielewi!!!