Habar zen ndugu zangu.
Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi, akarudia mwaka jana masom yot kasoro islamic na kiswahili na akapata C ya eng, na mengne akafel tena yote asa anaomba kurudia tena Ila wazo langu kam kuna chuo kinachochukua wastan wa C2 na D1 naomba mnisaidie japo mawazo au ata coz ipi anaweza akasomea