Asante kushukuru
Pole sana mkuu ulikuwa katika kipindi kizito
Kaka mkubwa Vin Diesel karibu sana mkuu
Mkeo Mamndenyi nilikuwa nae kijijini nilikuwa nampooza machungu ya kuachwa na kutimuliwa
karibu sana mkuu umepitwa na mengi sana
Arushaone umejifunuaje kwenye blanketi la YNNAH?.....Ukaja kuchungulia humu. Vin Diesel anahitaji faraja ya moyo.
Arushaone kitunze usikitupe kitaokotwa ujute.
Arushaone umejifunuaje kwenye blanketi la YNNAH?.....Ukaja kuchungulia humu. Vin Diesel anahitaji faraja ya moyo.
Ukishikwa shikamana........nakushika mkono Vin Diesel
welcome back on truck