Napenda kuchukua nafasi hii kwa niaba ya wadau wa Tanga, kuwashukuru wana MMU na CC walitutembelea hapa Tanga kuanzia Tarehe 28 hadi 30 Disemba 2012.
Binafsi nilifarijika na ninashukuru sana kupewa nafasi ya upendeleo kuwapokea wageni wote kwa niamba ya wenzangu.
Ila kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wa kibinadamu, naomba radhi kwa kushindwa kuwa na wageni wetu kwa muda wote waliokuwepo hapa Ta. Hata hivyo,timu ya ardhini iliweza kujipanga vizuri na kuziba mapengo yote kiasi kwamba mambo yote yalienda kama yalivyopangwa. Kwa hiyo, napenda kuwashukuru wadau wote wa Ta ambao walichukua jukumu la kuwa na wageni wakati waliokuwa nasi...shukrani za pekee kwa
Mwanyasi,
KOKUTONA,
Arabela na wengine wote ambao walitupa support kwa namna moja au nyingine.
Mwisho, nawashukuru wageni wote walitutembelea wakiongozwa na mkuu
PakaJimmy, Mama wa nyumba
Blaki Womani, kubwa lao
Preta, Makamanda wote wa ukweli
Filipo,
marejesho,
Arushaone,
Lily Flower (mama wa nyuki wa mashine),
Smile,
Madame B,
watu8 na anonymous member(s)!!
Shukrani pia ziwaendee wadau wote ambao wamekuwa nasi kwa mawasiliano ya kila namna, teacher
gfsonwin na
LiverpoolFC (ahsante kwa msaada wa kiroho),
Mzee wa Rula,
sweetlady,
charminglady,
King'asti,
Husninyo, babu
Asprini,
Kaizer,
Mungi, @Mr Rocky,
Erickb52....na wengine wote ambao kwa namna moja au nyigine wametuunga mkono. Bila support yenu tungepwaya kwa namna fulani.
Naomba mapungufu yetu yote mtuachie ila mema yote ya Ta muyafikishe kwa wale wanaotamani kuja kupaona Ta....
Mungu awabariki sana na wale ambao wameshapita hatua ya kuishi nyuma ya keyboard tuonane 2013...
Babu DC!!