Shukrani kwa wana MMU na CC!!

Shukrani kwa wana MMU na CC!!

Nimeshaiona PM yako, halafu wewe kwanini ulitutoroka jukwaani hivyo?
Karribu Tanga............!


Safi sana mwenyekiti....

Sina mashaka na wewe kabisa....endeleza Ta wingi hadi waliokuwa na mashaka wayatue!

Babu DC!!
 
Mhhhhhhhh


Mbona bibi hakuwepo home Nyunzo?

Au rada yako imebugi stepu kidogo...

Babu DC!!
babu hebu sema vzr, mbona kama kijana Nyunzo ananipasha habari halafu wewe unaizima??
nitoe tongo tongo babu ni nani alikuwa mbadala wa bibi hadi isome hivyo kwa Nyunzo??
 
Last edited by a moderator:
Safi sana mwenyekiti....

Sina mashaka na wewe kabisa....endeleza Ta wingi hadi waliokuwa na mashaka wayatue!

Babu DC!!

Tanga Wing ni Jeshi kubwa lenye watu wachache ambao kila mmoja anacheo cha u-kamanda
 
babu hebu sema vzr, mbona kama kijana Nyunzo ananipasha habari halafu wewe unaizima??
nitoe tongo tongo babu ni nani alikuwa mbadala wa bibi hadi isome hivyo kwa Nyunzo??


Naamini unajua utaratibu wa wetu sie watu wa 1947....

Kwa hiyo sitasema mengi ili nisiharibu...

Badala yake, namteua mjukuu wangu mmoja kwa jina Smile ili yeye ndiye alisemee hili... bahati mbaya bado kapumzika...lol!!

Ila in short, hakuna na wala hautakuwepo mbadala wa bibi....

Wadau watakuja kumalizia hapa...

Babu DC!!
 
hehehe! Mzee una mikwara wewe.
Mimi ni mtulivu, sina mapepe. Lol!
Ntakuja kumsalimia bibi.

Siyo mkwara Husninyo,

Hebu kwanza fanya consultations kwa Madame B na Smile....kama unawamaindi basi mtafute watu8!!

Ukimaliza hapo uje tuongee vizuri...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
babu hebu sema vzr, mbona kama kijana Nyunzo ananipasha habari halafu wewe unaizima??
nitoe tongo tongo babu ni nani alikuwa mbadala wa bibi hadi isome hivyo kwa Nyunzo??
gfsonwin kwa babu umefika, atakupa full story,
nasubiri mrejesho, ehhee TA waja lini?
 
Last edited by a moderator:
Naamini unajua utaratibu wa wetu sie watu wa 1947....

Kwa hiyo sitasema mengi ili nisiharibu...

Badala yake, namteua mjukuu wangu mmoja kwa jina Smile ili yeye ndiye alisee hili... bahati mbaya bado kapumzika...lol!!

Ila in short, hakuna na wala hautakuwepo mbadala wa bibi....

Wadau watakuja kumalizia hapa...

Babu DC!!

na iwe kama ulivyosema babu.
 
nitakuja wala usijali mie tena.
je mtatupa company safari ya mikumi??


Karibu sana teacher...

Hapa kila kitu utapata....

Huyo anayeongea ndiye chairperson...

Babu DC!!
 
na iwe kama ulivyosema babu.


Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhh,

Kwani ulikuwa na mashaka kama Babu alishastaafu?

Hebu niume sikio nielewe,....ulikuwa unawaza nini?

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom