Shukrani kwa Kikwete

Hilo umejifanyia mwenyewe, soma swali!

Nimekiri udhaifu wangu kwanza na kutambua kuwa Rais wa Tanzania hana nia ya kweli kuliimarisha Taifa letu na ndio maana nimeandika hilo hapa na ndilo lililo jema kwa Taifa letu, kuusema ukweli!
 
Jasusi,

Inasikitisha kuona tuna watu wamekuwa mawaziri miaka karibu 20 wanabadilishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, lakini hatuoni ufanisi wa kule wanakopewa majukumu. Huko majimboni, wanapewa dhamana ya kuwawakilisha wananchi kwa kisa cha kuwa Waziri na imekuwa mtindo (fashion) kwa watu kukimbilia Ubunge ili wawe mawaziri.

Swali ni hili, je Marais wetu wanaendeleza utamaduni wa kuchagua na kuteua watu wadhaifu ili wasipigwe mapiku? Maana kama Rais anaendelea kututeuliwa mbangaizaji, je ina maana Rais anapenda wabangaizaji wasiohoji mambo au kumbishia?

Au kwa kuwa Rais ni mbangaizaji basi akiajiri na kutgeua Wachapa kazi ataaibikia na kuanza kudoda kisiasa kwa kuwa Wananchi wataanza kutoa tukuzo na sifa kwa mchapa kazi na si mbangaizaji?

Je Rais anaficha udhaifu wake kwa kuajiri wabangaizaji kwa gharama za kodi yetu?

Pumba hizo, wewe kwa nini hukugombea u Rais uje kubadili mambo yalivyo?
 
Sawa mchungaji lakini wewe kama wewe ni kati yetu kwani wewe una mpango gani wa kutilt huo mzani?

Mimi sipo kati ya wale 1000 walioteuliwa. PIli kwa kukiri kwangu udhaifu ulioko na kuutambua bila kutoa sababu za kijinga kutetea udhaifu, huo ni mwanzo mzuri. Wanasemaga wenyewe kwanza acknowledge there is a problem, and clearly identify what is a problem.

Wala sijafika kuanza kutoa mapendekezo au kutoa solution, tuko kwenye early stage ya self identification and self examnation.
 
Nimekiri udhaifu wangu kwanza na kutambua kuwa Rais wa Tanzania hana nia ya kweli kuliimarisha Taifa letu na ndio maana nimeandika hilo hapa na ndilo lililo jema kwa Taifa letu, kuusema ukweli!

Naona hapa unakiri kuwa huna ulichofanya zaidi ya kuandika hizo pumba!
 
Mimi sipo kati ya wale 1000 walioteuliwa. PIli kwa kukiri kwangu udhaifu ulioko na kuutambua bila kutoa sababu za kijinga kutetea udhaifu, huo ni mwanzo mzuri. Wanasemaga wenyewe kwanza acknowledge there is a problem, and clearly identify what is a problem.

Wala sijafika kuanza kutoa mapendekezo au kutoa solution, tuko kwenye early stage ya self identification and self examnation.

Si unaona, wenzako wako kwenye kutekeleza majukumu, wewe mwenzetu ndio kwanzaaa upo kwenye "early stage ya self identification and self examnation". KHATAR KUBWA HII!
 
Si unaona, wenzako wako kwenye kutekeleza majukumu, wewe mwenzetu ndio kwanzaaa upo kwenye "early stage ya self identification and self examnation". KHATARI KUBWA HII!

Yeah Majukumu ya Kuhujumu, we know that is your game. Have fun and enjoy while it last!
 
Rev.Kishoka,

..west african husema "this country no work...everytihng skata-skata."

..huyu nadhani tumpe miaka mingine 10.

..hii 10 ya sasa hivi ni ya kujiandaa.
 
Yeah Majukumu ya Kuhujumu, we know that is your game. Have fun and enjoy while it last!

Na wewe majukumu yako ni pumba na fitna na chuki zisizo maana kwa Rais aliyefanya mengi mema kwa muda mfupi aliokuwepo katika uongozi kuliko ma Rais wote wa awamu zote ukijumlisha. Tutakwenda samba samba!
 
Nimekiri udhaifu wangu kwanza na kutambua kuwa Rais wa Tanzania hana nia ya kweli kuliimarisha Taifa letu na ndio maana nimeandika hilo hapa na ndilo lililo jema kwa Taifa letu, kuusema ukweli!

Please rev don't waste time with Dar es salaam!! just ignore him let the thread flow
 
Na wewe majukumu yako ni pumba na fitna na chuki zisizo maana kwa Rais aliyefanya mengi mema kwa muda mfupi aliokuwepo katika uongozi kuliko ma Rais wote wa awamu zote ukijumlisha. Tutakwenda samba samba!

Ukikuta mwanaume akili zake zimehamia nyuma ( tigo) wako kama ww
 
Ukikuta mwanaume akili zake zimehamia nyuma ( tigo) wako kama ww

Hahahaaaa, mkishindwa hoja mnahamia kwenye matusi, mkishindwa uchaguzi mnaanza choko choko na majungu na kuanzisha migomo. Hazisaidii kitu hizo.
 
Haya halafu utuwekee pumba zako kama kawaida, lakini angalia wenzako washaanza kukushtukia maana hivi juzi juzi tu niliona wanavyoku kandia! nikasema AlhamduliLllah yale niliyoyaona mimi zamaaani wao ndio kwanza wanayaona!

Wewe ni nani?
 
Hahahaaaa, mkishindwa hoja mnahamia kwenye matusi, mkishindwa uchaguzi mnaanza choko choko na majungu na kuanzisha migomo. Hazisaidii kitu hizo.

ww una hoja tangu lini? Viroja ndio kazi yako bcoz u have uncircumsized mind. na Viroja havijibiwi & let me tell u seriously hapa JF no one is EVER STUPID, arrogant, idiot as
you are, is not about right of expressions which you deserve.View attachment 19540 is about upuuzi u possess
 
Rev Kishoka ,nakushukuru kwa kulitambua hilo. Ni mengi umeyaongea na ya msingi. Ukichunguza zaidi maneno yako hayapingani hata kidogo na yale ya watu makini kama F.A.Mbowe,Mzee Mtei na Mh.Dr Slaa. Nakumbuka kwa nyakati tofauti wamesisitiza kuwa hawana uhasama na kikwete,hawana uhasama na mtu isipokuwa wanachopigania ni ule ufisadi,uzandiki,upuuzu na kutowajibika. Haya kwa pamoja ni mapungufu makubwa ktk serikali ya Kikwete. Kwa ufasaha zaidi uyu mkwere ni fisadi kama mafisadi wenzake aliwataja dr.slaa pale mwembeyanga lakini haimaanishi kuwa si lolote,hapana. Jambo kuu ni kwamba pamoja na rais kuwa na tuhuma binafsi,yeye angesimama kwa kofia ya mkuu wa nchi kulinda taifa lake,haijalishi rais ameingia vp ikulu,taifa linamhitaji kwa asilimia mia,ila kama anakuwa mzembe hatuna budi kumkumbusha na kutoa maoni yetu kama watanzania katika kutawala raslimali zote za taifa. Kwa upande wa pili kama si kulindana na kulipa fadhila kuna watu hawakupaswa kuendelea kumsaidia rais ktk kuitawala nchi,ni hatari kwa mtu aliyeshindwa majukumu auditable na kupewa majukumu abstrative,ni hatari. Kama rais anaipenda nchi yake na abebe mzigo wake asikimbie lawama. Nami nampongeza kikwete ila kwa ujumla sitakaa nimkubali kama mtenda kazi,amekumbatia wahujumu uchumi,waliofoji vyeti,wanyonyaji na wadhaifu,kwa aya Jk ni msaliti kwa umma na sitakaa nimuone kama kiongozi mahiri katika historia ya Tanzania tangu awe mbunge,waziri mpaka kiranja mkuu wa inchi. Kwangu hafai kuitwa kiongozi. Ni msimami wangu milele!
 
Mkuu Rev Kishoka.
Mimi naweza kusema kikwete ndio mkwamishaji wa mambo yote na ndiye chanzo cha matatizo yote tuliyonayo.
Sababu.
Nilikua natarajia baada ya TAKUKURU kuona kwamba baadhi ya viongozi wana tuhuma za kujibu na kuwafikisha mahakamani yeye kama rais angeunga mkono maana TAKUKURU ni taasisi iliyo chini ya uongozi wake. Lakini yeye amezidi kushikamana na mafisadi hadi kwenda kuwapigia kampeni na kuwaambia wananchi watuhumiwa ni wasafi wakati hukumu ya mahakama bado. Huu ni upuuzi!!!

Pili Usalama wa taifa wana lalamika sana kwa sasa kua rais hana maamuzi kama kiongozi mkuu wa serikali. Hua anapewa ushauri mzuri tu lakini yeye hangalii maslahi ya taifa ila maslahi ya rafiki zake.
Unategemea mawaziri wafanye maajabu gani kuleta mapinduzi kama yeye mwenyewe anashiriki ufisadi kupitia mlango wa nyuma kwa marafiki zake.
Mnatarajia waziri ajibu nini kwenye DOWANS kama mkubwa wake aliyemweka madarakani ni mshiriki na pia ni rafiki mkuu wa mmiliki wa DOWANS. Au mnataka ngeleja ataje then mumfanyie hujuma kama kombe!!
 
ww una hoja tangu lini? Viroja ndio kazi yako bcoz u have uncircumsized mind. na Viroja havijibiwi & let me tell u seriously hapa JF no one is EVER STUPID, arrogant, idiot as
you are, is not about right of expressions which you deserve.View attachment 19540 is about upuuzi u possess

Mkuu umechekesha sana na huyo jamaa mwenye miwani!
 
Hivyo Mzee Mwinyi alikuwa sahihi kusema sisi ni kichwa cha mwendawazimu au tunaruhusu kunyolewa na mwendawazimu?

Then wale walioko ndani ya CCM kwanini wanaridhika na udhaifu huu? Na tuwaeleweje wakidai eti wanasubiri 2015 ndio walete mapinduzi mapya ndani ya Chama chao ili kulijenga upya Taifa letu kwa umahiri?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom