members wa jf

Within the earth science of geology, the Edmonton Group is a Late Cretaceous (Campanian stage) to early Paleocene stratigraphic unit of the Western Canada Sedimentary Basin in the central Alberta plains. It was first described as the Edmonton Formation by Joseph Burr Tyrrell in 1887 based on outcrops along the North Saskatchewan River in and near the city of Edmonton. E.J.W. Irish later elevated the formation to group status and it was subdivided into four separate formations. In ascending order, they are the Horseshoe Canyon, Whitemud, Battle and Scollard Formations. The Cretaceous-Paleogene boundary occurs within the Scollard Formation, based on dinosaurian and microfloral evidence, as well as the presence of the terminal Cretaceous iridium anomaly.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Members wa JF baadhi wanafiki sana, wanajifanyaga wako sayari nyingine

    Wanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa makubwa ya ununuzi mtandaoni Asia yote. Ukimpa stori ya Facebook mtu wa JF anakwambia nilifunga miaka...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Old school members wa JF, karibuni tukumbukane kwenye uzi huu. Gathering nights @leo tuko hapa and Kebbys Hotel

    Madame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
  3. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

    My people, Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi. Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Naomba tuwaite members wa JF ambao sasa hivi wanatamba kule TikTok

    Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine. Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni kwamba members wengine sasa hivi wako TikTok wakifanya challenge ya Ngoma za akina Zuchu na Nandi...
  5. LOGORIDDIM

    JamiiForums Tanzania Shukran zangu nyingi kwa Members wa JF

    ‎Salaam. Nembo niliyoibuni (nembo A) ilifanikiwa kuingia 3 bora shindano la Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark) - MADE IN TANZANIA. Shindano lilikuwa na jumla ya washiriki 83. ‎ ‎Kama member wa JF, nilikuja hapa kuomba support yenu katika zoezi la upigaji kura ambapo members wengi walinipigia...
  6. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hawa ni baadhi ya members wa JF wenye uwezo wa kufikiria nje ya boksi

    Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇. Kiranga Infropreneur Tanganian Robert Heriel Mtibeli Nitazidi kuongeza orodha. Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu...
Back
Top Bottom