Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

Moja ya mahubiri yake ni hii..."Peponi kuzuri tu...Peponi kuzuri sana,unapewa mizingo arobaini,yaani wanawake wazuri wazuri...arobani,na unapewa nguvu ya kupiga wanawake mia,yaani hawa sitini wako kama akiba tu...anamliza kwa kusema...Peponi kuzuri sana,mwenyezi mungu tuingize peponi...Inshallah

Anawaza kupiganadicki tu,..daah pepo hiyo haitakosa kaswende.
 
JAH GUIDE SHEIKH HILARY KIPOZEO. Jamaa huyu hana sifa hata moja ya ugaidi, Uislam na ugaidi vitenganishwe kwa kutumia masheikh kama hawa wasio hubiri chuki wala uhama wala uadui
 
Huyu ndie sheikh mstaarabu kuliko wengi niliowaona...???
 
Na hao alshabab hawataweza kuisha Kwa design hii, coz wanalishwa Maneno mpka bac na ndio maana wanafanya mauaji2
 
Ndio kusema maaskofu wanaopigania ndoa za jinsia moja tena mbele ya mazabahu..wameruhusiwa na biblia...??
Kuna watu wengine hutumiq dini kufanikisha mipango yao....
Cha msingi ni kusoma kitabu cha imani yako na kufuata yale ambayo ni mazuri...na sio kufuata mawazo ya wengine wakiwa na malengo tofauti na Muumba....
 
Back
Top Bottom