Shujaa wako mwaka 2012

Kwa upande wa media, shujaa wanfu ni Yahya Mohamed wa star tv kwa mijadala yake anayoongoza kwani inatoa elimu ya uraia na kunyoosha pale ukweli unapopindishwa
 
Zito kabwe hoja aliyoibua bungen kuhusu hela zinazofichwa nje pia hoja zake kuhusu masuala ya mikataba na faida za gas yetu pia aligundua na kurekibisha mengi kuhusu mashirika ya umma ambayo kila mtz yanamgusa,mwezi mmoja nyuma nilikua simfahamu ben saanane duh nae kishakua shujaa wa taifa! Tanzania inachekesha sana
 

​Hero of the decade
 
Me shujaa wangu mr mdhaifu a.k.a ------ huyu jamaa anakila sifa ya kuitwa shujaa kwanza ni rais pekee aliyevunja rekod ya kuwa maneno machafu na ya kukatisha tamaa kwa wananch wke, asiyekuwa na maamuz sahih kwa viongoz wenzie pale wanapofanya madudu, kupenda kuruka mara kwa mara kama popo, na kupenda kuwasaidia wasanii wakike pale wanapokuwa na matatizo na kwa wasanii wa kiume yeye hupenda kuzika tu na sio kusaidia

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Godbles kinara wao kwani wanajutia kumrudisha ulingoni.

  • :target:
 

Kumbe kakusaidia wewe tu.
 
angalia vizuri maoni ndani ya hii post,utawagundua watu ukanda.Acha ubishi pitia tena kwa makini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…