Shujaa wa gesi aliyepigwa risasi-rip mr.karim

amekufa kwa ujinga wake mwenyewe
wewe una matatizo, unaweza kuueleza umma ujinga uliomfanya afe ni upi????????????
R.I.P kijana, poleni ndg, wafiwa wote na kila aliyeguswa na msiba huu mkubwa
 
Huyu kijana wana mtwara tukishinda suala la gesi tutajenga mnara kumuenzi..............

Mkishinda kwamba mkianza kuichimba au mkianza kuiuza... manake wewe ni mchochezi unatakiwa ukamatwe mkishinda kwani Gas ni yenu. Gas lazima itumike kwa nchi nzima...hilo halina mjadala..
 
Ni kweli wanahitajika mashujaa kama hawa, kulikomboa hili taifa. RIP
 
Jamani Watanzania tupiganie haki zetu ila si kwa kujiweka mbelembele na kufa mwisho wa siku tunaziumiza familia zetu zilizotulea, kutukuza na zinatutegemea..just imagine huyu mtu watu wangapi walikua tegemezi kwake!!so sad:A S cry::disapointed:
 
Hivi naomba kuuliza, Jeshi la Polisi huwa wanaruhusiwa kutumia silaha za moto?
 
hapa tu ndipo panaponifanya niamini ccm wana mioyo ya mapepo. Hata kwenye msiba hawajali, mtu huyo kavaa kijani ni kada wenu bado mnamtukana., kiburi cha uzima..hivi nani achore kibonzo kikionyesha askari anafyatulia wananchi risasi hiku ccm iko juu ya mtutu wa bunduki ikipunga hewa mwanaaaana..
waliomtuma kijana huyo wapo salamaa salmini, wanakula kiyoyozi. Usikubali kutumika ndugu!!!!!!!!
 
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.
mwenyewe unatumika vibaya na maccm!
 
Jamani Watanzania tupiganie haki zetu ila si kwa kujiweka mbelembele na kufa mwisho wa siku tunaziumiza familia zetu zilizotulea, kutukuza na zinatutegemea..just imagine huyu mtu watu wangapi walikua tegemezi kwake!!so sad:A S cry::disapointed:
unavifahamu vita vya majimaji wewe wangai walikufa!?
lazima watu wafe ili kuleta ukombozi
 
Hivi naomba kuuliza, Jeshi la Polisi huwa wanaruhusiwa kutumia silaha za moto?
inategemea mkuu, huko duniani hairuhusiwi lakini kuna nchi zisizozidi 5 duniani wanaruhusu sasa na Tz inaingia kundi hilo kwa bahati mbaya sana
 
wewe una matatizo, unaweza kuueleza umma ujinga uliomfanya afe ni upi????????????
R.i.p kijana, poleni ndg, wafiwa wote na kila aliyeguswa na msiba huu mkubwa
mkuu AINE, Alikubali kutumiwa. Liwe somo kwako na wengine, vijana tusikubali kutumika kama ngazi ya wengine.......poleni wafiwa, r.i.p!!
 
Very sad, wewe ni mbegu iliyopandwa, itaota..itamea...itachanua...itazaa na tutavuna, munge akupee, ulale kwa amani..amen
 
Sorry pals, Mi sipo pamoja na wanamtwara kwa sababu Tz hatuna sera ya majimbo. Gesi yote ni yetu sote.
 
attachment.php
 
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.
Hivi unafahamu kinachoendelea? Si uwataje hao wachochezi wanaotumia watu? Hatua sahihi ni zipi?
 
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.
kweli hawajitambui hata ukiangalia hiyo haki wanayosema wanapigania ni ipi hata mfano gesi ikibaki mtwara watu wa aina yake sana sana kazi watakazo ambuliia kwenye hiyo ajira ya gesi ni umesenja, ufagizi, na zifananzao na wanao wachochea wakiwa vivulini. tena kwa hiyo alama aliyoonyesha no wonder mzee wa onyo yuko kimya kwa sababu anajua chimbuko lake. Taabu kwelikweli na hizi ziro zinazoongezeka kila mwaka vijana wanazidi kuwa gizani.
 
Back
Top Bottom