hao ndiyo mashujaa wetu!!!! R.i.p wanajeshi wetu, walikuwa wakitekeleza wajibu wao dhidi ya maadui wa nchi yetu, wasioitakia mema tz yetu. Haki inaweza kudaiwa lkn c kwa kuleta uvunjifu wa amani. Chungulia drc uone raha ya vita mkuu!waliowatuma wale wanajeshi saba toka nachingwea wako wapi? Au huko hakuna viyoyozi?
eddymoblaze blog: Breaking news: Gari la jeshi lapinduka na kuua likielekea kutuliza vurugu za mtwara
hao ndiyo mashujaa wetu!!!! R.i.p wanajeshi wetu, walikuwa wakitekeleza wajibu wao dhidi ya maadui wa nchi yetu, wasioitakia mema tz yetu. Haki inaweza kudaiwa lkn c kwa kuleta uvunjifu wa amani. Chungulia drc uone raha ya vita mkuu!
Huyu kijana wana mtwara tukishinda suala la gesi tutajenga mnara kumuenzi..............
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.
amekufa kwa ujinga wake mwenyewe

Ni kuwa mstari wa mbele kutetea rasilimali ya gesi inawanufaishe wana Mtwara bila uoga.Ushujaa wake ni upi? Elezea kidogo tumuelewe marehemu!
Tuthibitishie wanavyotumika maana sasa imefika kwa mtu kujitambua na kudai haki yake mnakimbilia kudai wanatumika
amekufa kwa ujinga wake mwenyewe
Dah! Bonge la answer Link ya ku like ipo wapi nikulike na user zangu 7 zoteNi kuwa mstari wa mbele kutetea rasilimali ya gesi inawanufaishe wana Mtwara bila uoga.
Heri yeye amekufa amesimama kuliko wewe unaeishi huku umepiga magoti, ukilamba watu miguu.
We mtoto wa mama unaweza kudiriki kuingia mtaani kwa ajili ya wengine?Ushujaa wake ni upi? Elezea kidogo tumuelewe marehemu!