Shujaa wa gesi aliyepigwa risasi-rip mr.karim

Shujaa wa gesi aliyepigwa risasi-rip mr.karim

Ni heri umekufa kifo cha kishujaa cha kupigania haki kuliko ungekufa kwenye uzinzi wa kuzini na wake za watu.
Kaka!mwanga wa milele umwangazie ee bwana upumnzike kwa amani.

Aluta continua!
 
Mungu amupokee, ila siwez kuwaunga mkono wana mtwara kwa nguvu
 
Very sad! Huu ujob less jamani unatufanya watu tuwe tunashabikia hata vitu visivyo na Mantiki. Huyu kijana amekufa kizembe sana na kuitia hasara familia yake hususani wanao mtegemea. Labda mtoa mada ungetuambia kwanini unamuita shujaa huyu mtu?
 
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.

Ww ndio mpuuzi...na ww ndo mfilis wa haki za wananchi namba moja na ndo maana unaujasiri wa kuzungumza upuuzi huu
Wana mtwara wanapigania haki yao...gesi ibaki kwao na viwanda vijengwa kwao kwa ajili ya kujipatia ajira na kuukuza mkoa wa mtwara
 
kinachokuokoa ni kuwa unaongea upuuzi huu ukiwa ndani, ipo siku utajisahau utaongea hivi hivi mbele ya watu, utakhafiniwa kabla hujafa.

Kwahiyo unaona kilichomtokea ni sawa?nani atatunza fammilia yake?mbona wewe unashabikia ukiwa kwako kwenye computer na hukuenda mtwara kuwasuport?????sometimes kama hampo tayari for a revolution mkae kimya.mapinduzi si ya watu wachace ni ya wote atleast kama hukuweza kuenda mtwara ungelianzisha hukohuko ulipo hata kwa mabango ya kuwaunga mkono na sio kujificha nyuma ya computer.. ..any fool can write few can stand up for what they believe
 
Huyu kijana wana mtwara tukishinda suala la gesi tutajenga mnara kumuenzi..............
Mnapigana kwa sababu ya umaskini na sio gesi. Wa kwanza kulaumiwa kwa hali ya kubakia nyuma mikoa ya kusini ni ukoloni uliopanga kipau mbele kwa maeneo mengine. Sasa msitengeneze mashujaa bandia wakati mipango thabiti ya maendeleo kwa mtwara na lindi imeshawekwa.
 
bora kafa for the know course!ila ww unaweza kufa kwa kupigwa nondo usiku ukitoka kwa hawara yako
 
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.

Wewe acha ujinga!! hata huu uhuru wa kutoa mawazo yako potofu hapa jamvini kuna watu wamejitolea kufa ili wewe uishi kwa uhuru. Uliza akina Maxene.
 
kinacho fanya wakatalie gas nini?
Mh. Rais hajui ni kwa nini hii nchi ni masikini (huku akidhani njia ya mkato ni wafadhili)
Pia hajui ni kwa nini wananchi wa Mtwara wanakatalia gesi (anadhani ni wanasiasa wanawachochea)
Nawe hujui ni kwa nini haya yanatokea!
Lakini wanamtwara wengi ambao wamenyimwa fursa kwa muda mrefu huenda wanaelewa maswali yote haya na ndio maana wako tayari kufa kwa kile wanachokiamini. Wakisema tembea uone sio kwenda ulaya tu bali ukifanya utalii wa ndani utaelewa mengi ndugu
 
Shujaa huku kafa tayari waliomtuma wanaendelea kula maisha.mjiangalie vijana mnatumika hovyo..
 
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.

your blood, yet more blood shall irrigate the victory...
 
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.
Nakuuliza kwenye maeneo niliweka red colour, kama ifuatavyo:

  • Wanatumiwa na nani? mtu kutambua kuwa rasilimali iliyopo kijijini kwake na kudai ni namna gani itamnufaisha ni kutumiwa?
  • Hivi ni kweli gas wanayoililia (hata kama ni kweli kama unavyosema wanatumiwa) haina faida kwa wana mtwara?
  • Ni taifa gani nyie vijana mnadai liko mikononi mwenu mkiwa waoga na kutazama gasi, dhahabu, tanzanite, meno ya tembo, wanyama pori hai wakiporwa na wageni huku wakipewa ushirikiano wa hali ya juu na baadhi ya tuliowakabidhi dhamana ya kulinda nchi na rasilimali zake?
Kwa mtizamo ulionao, kama ni mtanzania nakuona ni kati ya watanzania wenye maji machafu yaliyovunda kichwani.
 
Back
Top Bottom