Mpenda Posho
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 184
- 48
Mawazo kama haya wangekuwa nayo akina Mugabe, Samora, Neto, na wapigani uhuru wengine wa Kusini mwa Africa, leo hii nadhani wangekuwa bado chini ya Wakoloni.Na kama dunia ingemuona Mandela akiwa gerezani kwa muono wa mawazo ya aaina hii basi nadhani angefia gerezani. Mkuu hakuna kifo cha ujinga, hata jambazi anapouawa ama kuua haongozwi na ujinga, kila kitu mtu anafanya akiwa na akili na hata huyu alifanya haya akijua anafanya nini, kaama ni ujinga ulimuongoza nadhani hata hao wanaaoshikiliwa katika tukio basi wangeaachiwa. Ni wakati wa kuunganisha mawazo na kumaliza tatizo hili badala ya kushabikia. Hakuna anayependa haya yatokee, si Serikali wala watu wa Mtwara na Watanzania kwa ujumla wetu. Lamaaana tuepushe siasa ambazo watu sasa wamechoka nazo wanataka maendeleo. Ni hili ni jukumu letu sote kuleta aUhuru wa kiuchumi na kuachana na mawazo ya uhuru wa kisiasa ambao tumepata miaka zaaidi ya 50 sasa. RIP Marehemu !amekufa kwa ujinga wake mwenyewe