Ni kweli kabisa mkuu.
Kwani angebaki nyumbani ingekuaje?sasa kaiachia familia yake tabu ya milele!
Mnapigana kwa sababu ya umaskini na sio gesi. Wa kwanza kulaumiwa kwa hali ya kubakia nyuma mikoa ya kusini ni ukoloni uliopanga kipau mbele kwa maeneo mengine. Sasa msitengeneze mashujaa bandia wakati mipango thabiti ya maendeleo kwa mtwara na lindi imeshawekwa.
Bora yeye kafa akigombania haki,ww utakufa kwa kutumiwa na lumumba kwa malipo ya buku 5 za M-pesaamekufa kwa ujinga wake mwenyewe
Bora yeye katangulia mbele za haki kishujaa-kuliko wewe unayeishi ukiwa mfusasa tuöne kama baada ya wiki mbili kama wanamtwara wataendelea kumkumbuka huyu mtu,zaidi atakumbukwa na familia yake na kulaumiwa kwa ujnga wake,ni wakati sasa wanamtwara waihudumie familia ya marehemu kama kweli walikuwa pamoja,ni lazima ukweli ujitenge kuwa alikuwa mbulula,yeye na wenzake wote..
Alazwe mahala pabaya kuzimu!
Upuuzi mwingine bwana eti unagombania gesi wakati elimu yenyewe huna
Bora yeye katangulia mbele za haki kishujaa-kuliko wewe unayeishi ukiwa mfu
Na utakufa kwa aibu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
amekufa kwa ujinga wake mwenyewe
sasa tuöne kama baada ya wiki mbili kama wanamtwara wataendelea kumkumbuka huyu mtu,zaidi atakumbukwa na familia yake na kulaumiwa kwa ujnga wake,ni wakati sasa wanamtwara waihudumie familia ya marehemu kama kweli walikuwa pamoja,ni lazima ukweli ujitenge kuwa alikuwa mbulula,yeye na wenzake wote..
Alazwe mahala pabaya kuzimu!
Mkuu haya maneno hata kwenye khanga yapo,umefanya vurugu huko weeeeeeeeeeeeeee....halafu unakuja kujikosha jaribu kuwa mtanzania halisi acha kuigiza.Kila nafsi itaonja mauti mbele yake nyuma yetu,baba miraji nakuasa dhuluma si njema mbona umewabadilikia wapiga kura wako,unashindana na nani mbona tulikuamini tulilutegemea na kujenga matumaini makubwa kwako leo tunaishia kuporwa kunyanyaswa ili uwainue wana bagamoyo hivi unajisikiaje kumbunga unachotaka kukuidhulumu ni mpango wa mungu kukipanda aridhi ya mtwara ni mapenzi yake hivyo wewe si mungu chukua bt kwa hili hasira ya mungu hautoikwepa mtwara bandari wanayo kwa nini usijenge viwanda kule zao la korosho unaliua mpaka sasa malipo ni utata we binadamu gani,usiyejali utu wa watu unadiriki kutumia jeshi jamani me nimekushangaa baba wewe kumbe una ukatili mkubwa usiopimika ngoja tunyamaze usije tupeleka ukonga kama wakina fulani kufungwa milele angalia upanga unaoutumia usije kugeukia ukakudhuru mwenyewe.
RIP! mapambano yataendelea tu...
amekufa kwa ujinga wake mwenyewe