Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

Kwanza mlango wa ndege hufunguka kuelekea mwelekeo wa nje, kitu ambacho si rahisi kuuvunja kwa kutokea nje tena kwa kuugonga kwa kutumia kasia. Basi tuseme kasia lilikua zito na imara na mtumiaji alikuwa jitu lenye nguvu mingi aliyeshika kasia na kuutwanga mlango wa ndege mpaka mlango ukabondeka na kufunguka.
Swali: Mbona ndege ilipovutwa ukingoni mwa ziwa mlango wa abiria unaonekana ni mzima kabisa na hauna ata mikwaruzo au ubonyevu wowote?

Binafsi sina chuki wala wivu na dogo Majaliwa ila akili yangu huwa haipokei pasipo kujiridhisha
 
Sasa haeleweki hiyo kamba iliyokatika na kumchapa shujaa ilikuwa wkt gani wkt anafungua mlango ili abiria watoke au baada ya kushindwa kupasua kioo kumuokoa muongoza ndege?

Sikiliza kwa makini mahojiano yote aliyofanya huyo bwana mdogo, maana kaeleza A to Z...

Alichapwa na kamba ambayo ilikuwa inatumika kufunga mkia wa ndege ili ianze kuvutwa na raia waliojitolea kutaka kuivuta ndege kwa kamba...

Alipohojiwa mara ya mwanzo akiwa na lile sweta lake la orange, uso wake ulikuwa umevimba upande mmoja maeneo ya shavuni kuelekea jichoni, kama mtu aliyechapwa kibao au komde zito...

Kamba hiyo ilikatika na principle ya action=reaction ikatake effect hivyo impact ya kamba ikaishia usoni kwake na akazimia na kuishia majini, na alipozinduka alijikuta yupo hospitali...

Cha ajabu ni kwamba miongoni mwa watu wote walioshiriki uokozi ni shujaa pekee ndiye aliyefuatwa kuhojiwa na TBC

Hadi anafikishwa hospitali ilikuwa inaaminika naye ni manusura wa ajali, hivyo waandishi wa habari walipoanza kupita kuhoji ndipo akawaambia kisa chake kwamba alikuwa ni mmoja wa wavuvi...

Kama unakumbuka idadi ya abiria ilikuwa haieleweki kama ni 43, 44 au 45 sababu ya hao majeruhi waokoaji kama Majaliwa...
 
Sikiliza kwa makini mahojiano yote aliyofanya huyo bwana mdogo, maana kaeleza A to Z...

Alichapwa na kamba ambayo ilikuwa inatumika kufunga mkia wa ndege ili ianze kuvutwa na raia waliojitolea kutaka kuivuta ndege kwa kamba...

Alipohojiwa mara ya mwanzo akiwa na lile sweta lake la orange, uso wake ulikuwa umevimba upande mmoja maeneo ya shavuni kuelekea jichoni, kama mtu aliyechapwa kibao au komde zito...

Kamba hiyo ilikatika na principle ya action=reaction ikatake effect hivyo impact ya kamba ikaishia usoni kwake na akazimia na kuishia majini, na alipozinduka alijikuta yupo hospitali...

Hadi anafikishwa hospitali ilikuwa inaaminika naye ni manusura wa ajali, hivyo waandishi wa habari walipoanza kupita kuhoji ndipo akawaambia kisa chake kwamba alikuwa ni mmoja wa wavuvi...

Kama unakumbuka idadi ya abiria ilikuwa haieleweki kama ni 43, 44 au 45 sababu ya hao majeruhi waokoaji kama Majaliwa...
Hivi na wewe unawaamini kabisa
 
Wewe ni mvuvi!?

Kama ndio hebu tueleze wewe kutoka 'site' alichofanya Majaliwa ili tuone hayo madhaifu yake.
Kama sio mvuvi kwenye ile ajali..tulia!
Tunataka wavuvi husika walalamike, sio nyie wakaanga mbuyu.
Huu mjadala sio wa wavuvi tu, wao pekee hawana hati miliki ya kujadili kilichotokea ktk ajali ile every free minded individual ana haki ya kutoa maoni katika ile ajali.

Tukiwaachia wavuvi pekee ndio wajadili matokeo yake ndio kama haya yanayoenezwa mitandaoni.
 
Hizi zote ni dalili za wivu tu. Binadamu huwa tuna hulka ya wivu kwa wenzetu wakifanikiwa sijui tukoje?, Mwacheni mtoto wa watu. Unaposema maswali ni mengi kuliko majibu, si ujibu wewe sasa kama unayo majibu?
Acha kuwa mvivu wa kufikiri Nani amuonee wivu mtu ambaye ajira yake basic ni laki 5,6au7?

Wacha watu wafikirie
 
Na hayo yote aliyawaza kabla ya kuamua kujitoa mhanga eeh?
Watu ambao sehemu kubwa ya maisha yao wanayatumia ziwani wanajua mambo mengi sana kuhusu hayo maji na viumbe vilivyomo ndani ya maji !!
 
Sikiliza kwa makini mahojiano yote aliyofanya huyo bwana mdogo, maana kaeleza A to Z...

Alichapwa na kamba ambayo ilikuwa inatumika kufunga mkia wa ndege ili ianze kuvutwa na raia waliojitolea kutaka kuivuta ndege kwa kamba...

Alipohojiwa mara ya mwanzo akiwa na lile sweta lake la orange, uso wake ulikuwa umevimba upande mmoja maeneo ya shavuni kuelekea jichoni, kama mtu aliyechapwa kibao au komde zito...

Kamba hiyo ilikatika na principle ya action=reaction ikatake effect hivyo impact ya kamba ikaishia usoni kwake na akazimia na kuishia majini, na alipozinduka alijikuta yupo hospitali...

Hadi anafikishwa hospitali ilikuwa inaaminika naye ni manusura wa ajali, hivyo waandishi wa habari walipoanza kupita kuhoji ndipo akawaambia kisa chake kwamba alikuwa ni mmoja wa wavuvi...

Kama unakumbuka idadi ya abiria ilikuwa haieleweki kama ni 43, 44 au 45 sababu ya hao majeruhi waokoaji kama Majaliwa...
Na hapo ndipo mliopofumbwa sasa
 
Something is cooked something ili wenye upeo mdogo msifikirie nje ya box

Leo mjadala mkubwa ni shujaa majaliwa na sio uwajibikaji wa wenye dhamana ktk ajali ile.

Watu kama nyie mpo wengi humu vichwa ni vigumu kufunguka
Black Box ndio itasema shida ilikua nini na baada ya hapo hatua stahiki zitafuata,

Wewe mwenye upeo mkubwa utasema nini kabla ya ripoti ya Black Box?
 
Kwanza mlango wa ndege hufunguka kuelekea mwelekeo wa nje, kitu ambacho si rahisi kuuvunja kwa kutokea nje tena kwa kuugonga kwa kutumia kasia. Basi tuseme kasia lilikua zito na imara na mtumiaji alikuwa jitu lenye nguvu mingi aliyeshika kasia na kuutwanga mlango wa ndege mpaka mlango ukabondeka na kufunguka.
Swali: Mbona ndege ilipovutwa ukingoni mwa ziwa mlango wa abiria unaonekana ni mzima kabisa na hauna ata mikwaruzo au ubonyevu wowote?

Binafsi sina chuki wala wivu na dogo Majaliwa ila akili yangu huwa haipokei pasipo kujiridhisha
Inasemekana mhudumu wa ndege na wengine humo ndani walikuwa wakiulazimisha kwa kuusukuma au kuugonga ili ufunguke ! Huenda Dogo alipoona umepatikana upenyo wa kutumia kasia lake ndio akalitumia kusaidia huo mlango ufunguke !! Jitihada za kuufungua mlango zilianzia ndani ya ndege sio nje ya ndege. !!
 
Kwa uelewa wangu mdogo, iko ivi MAJALIWA alisaidia mlango kufunguka huku watu waliokuwa ndani ya ndege nao wakipambana kufungua (maana sidhani kama wangeweza kufungua wenyewe na forc me ya maji yaliopo ndani nanjee) hivyo alivyo fanikiwa kupamiza mlango na kufunguka kwa vile alikuwa na wenzie kwa mtumbwi mdogo akawaacha watu waendelee kutoka ndo akaelekea kwa rubani kumsaidia na ndipo alipoopa vifaa vya kumsaidia kuvunja kioo cha pilot ikashindikana, ndipo rubani akamwelekeza afungue mlango wa emegence na ndipo alipo patwa na tatizo adi akajikuta hospital kutokana na iyo kamba kuachia na kumpiga uso.

Ila stori inawalakin maana waliokuwa ndani wanasema muhudumu wa ndege ndo alifungua mlango je kama ni kweli mbona wanasema amefariki? Ivyo alifungua alafu akarudi ndani tena au?
 
Hebu elezea hasa wewe unataka nini juu ya Majaliwa,

Aachishwe kazi katika jeshi la Zima moto, Arudishe pesa alizochangiwa, au una wazo gani funguka
Mbona kila anayetoa mawazo mbadala mnafikiri anamuonea wivu majaliwa kwa ajira yake ya mchongo aliyoipata, kwa ajira gani hasa Hadi watu na akili zao wamuonee wivu?

A free minded society needs more clarification about what it happens during the insidents,

Sio mnakuja juu juu tu na kuleta habari za majaliwa shujaa wkt wapo watu ndio walipaswa wabebe hiyo credit

Hili tukio baada ya ajali limekuwa staged ili ku clear the air.

Stuka.
 
Kwa uelewa wangu mdogo, iko ivi MAJALIWA alisaidia mlango kufunguka huku watu waliokuwa ndani ya ndege nao wakipambana kufungua (maana sidhani kama wangeweza kufungua wenyewe na forc me ya maji yaliopo ndani nanjee) hivyo alivyo fanikiwa kupamiza mlango na kufunguka kwa vile alikuwa na wenzie kwa mtumbwi mdogo akawaacha watu waendelee kutoka ndo akaelekea kwa rubani kumsaidia na ndipo alipoopa vifaa vya kumsaidia kuvunja kioo cha pilot ikashindikana, ndipo rubani akamwelekeza afungue mlango wa emegence na ndipo alipo patwa na tatizo adi akajikuta hospital kutokana na iyo kamba kuachia na kumpiga uso.

Ila stori inawalakin maana waliokuwa ndani wanasema muhudumu wa ndege ndo alifungua mlango je kama ni kweli mbona wanasema amefariki? Ivyo alifungua alafu akarudi ndani tena au?
Na wewe unaamini majaliwa aliongea na rubani wa ndege
 
Back
Top Bottom