CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,871
Hakuna mwandishi wa habari atakuja kukuhoji wewe usie na contentNdio kusema yy pekee ndio alikuwepo eneo la tukio
then yy ndio aojiwe pekee kati ya wote waliokuwepo
tafakari
Majaliwa ndie pekee aliemuona Rubani akiwa hai,ulitaka uje uhojiwe wewe?
Media ndio zinachagua nani wa kumuhoji na sio majaliwa aliita Press,bali
anafatwa anajibu anavyoulizwa, Hebu na wewe kuwa Shujaa wa Mchongo
ukiona Ajali kama ile au janga la moto Dumbukia jitose kaokoe waliomo uone how it feels kuwa shujaa wa mchongo.
Majaliwa ni Mfano na zawadi aliyopewa anastahili sana,ni Haki yake.




umeenda kunipekua eeh,