Mawe yapo tu 😁 maana mti wenye matunda ndio upigwao mawe !!Let's do the math. Ilimchukua dk ngapi huyu hero kufungua mlango then na kuokoa watu,
Ukiachilia mbali ile theory ya kuufungua mlango wa ndege kwa Kasia bado watu hawajaielewa vizuri tutaijadili baadae.
Baada ya kufungua mlango shujaa aka dive kutaka kumuokoa pilot lkn alikatazwa kuvunja kioo Cha ndege na mtu asiyejulikana na mpaka Sasa hajulikani.
Baada ya mtu asijulikana kumkataza shujaa asipasue kioo shujaa aka dive tena kurudisha mawasiliano kwa pilot kwamba nimezuiwa nisivunje kioo na shujaa akaonesha ishara ya kuaga kuondoka huko chini ya maji
Sasa haeleweki hiyo kamba iliyokatika na kumchapa shujaa ilikuwa wkt gani wkt anafungua mlango ili abiria watoke au baada ya kushindwa kupasua kioo kumuokoa muongoza ndege?
Lkn Sasa manusura wa ajali wameanza kuzungumza kwamba ndege ilianza kuingia maji dk1 tu tangu ipige mbizi baharini.
Cha ajabu ni kwamba miongoni mwa watu wote walioshiriki uokozi ni shujaa pekee ndiye aliyefuatwa kuhojiwa na TBC.
Maswali ni mengi kuliko majibu
What is behind kwa ku rise shujaa Majaliwa?
Msinipige mawe tujadili.
Wewe ni mvuvi!?Ndio kusema yy pekee ndio alikuwepo eneo la tukio
then yy ndio aojiwe pekee kati ya wote waliokuwepo
tafakari
Kwani majaliwa shujaa ni wa kijani kijani tangu zamani au baada ya ajali?!!Ccm Hoyee
Soon zitaingia imani na itikadi uzi uta go to sleepDah umeanza maswala ya ukabila tena. Basi tena nikuache
Umeshinda
Haa Hujajua Tu Kijani Ndiyo ImetupangaKwani majaliwa shujaa ni wa kijani kijani tangu zamani au baada ya ajali?!!
La ziada la kuongezeaBasi tufanye ww ndio uliwaokoa umerizika?
Jitu zima kumuonea wivu kijana mdogo kama huyo ni aibu kubwa na ni uchawi.
Hata kama sio yeye aliye vunja mlango lakini kitendo cha kuhatarisha maisha yake kwa kujitosa ndani ya maji kwa lengo la kuokoa watz wenzake wakati askari wenye dhamana walikuwa wamesimama ufukweni wakiangalia tu huo ni ushujaa tosha.
Acha wivu maana hata hiyo wivu haitabadilisha chochote zaidi ya kujiumiza moyo wako.
Hizi zote ni dalili za wivu tu. Binadamu huwa tuna hulka ya wivu kwa wenzetu wakifanikiwa sijui tukoje?, Mwacheni mtoto wa watu. Unaposema maswali ni mengi kuliko majibu, si ujibu wewe sasa kama unayo majibu?Let's do the math. Ilimchukua dk ngapi huyu hero kufungua mlango then na kuokoa watu,
Ukiachilia mbali ile theory ya kuufungua mlango wa ndege kwa Kasia bado watu hawajaielewa vizuri tutaijadili baadae.
Baada ya kufungua mlango shujaa aka dive kutaka kumuokoa pilot lkn alikatazwa kuvunja kioo Cha ndege na mtu asiyejulikana na mpaka Sasa hajulikani.
Baada ya mtu asijulikana kumkataza shujaa asipasue kioo shujaa aka dive tena kurudisha mawasiliano kwa pilot kwamba nimezuiwa nisivunje kioo na shujaa akaonesha ishara ya kuaga kuondoka huko chini ya maji
Sasa haeleweki hiyo kamba iliyokatika na kumchapa shujaa ilikuwa wkt gani wkt anafungua mlango ili abiria watoke au baada ya kushindwa kupasua kioo kumuokoa muongoza ndege?
Lkn Sasa manusura wa ajali wameanza kuzungumza kwamba ndege ilianza kuingia maji dk1 tu tangu ipige mbizi baharini.
Cha ajabu ni kwamba miongoni mwa watu wote walioshiriki uokozi ni shujaa pekee ndiye aliyefuatwa kuhojiwa na TBC.
Maswali ni mengi kuliko majibu
What is behind kwa ku rise shujaa Majaliwa?
Msinipige mawe tujadili.
Kuna interview za majaliwa hujaskiliza. Umeruka ruka vipande unataka uje kuwa great thinker bila enough research mkuu. Mbona alisema alipotoka kwa pilot alimuelekeza kuna mlango wa emergency then akaona kamba akaichukua akawa anataka aje aifunge sehemu ili aendelee kuokoa watu kumbe kamba inavutika ikamchapa akapoteza fahamu. Sasa adanganye ili iweje.
Wewe ungefanya nini kama ungekua eneo la tukio?
Acha mtoto wa watu ale neema zake.
Mamba na viboko wakisikia kelele nao huwa wanaogopa hawawezi kusogea karibu na hizo kelele !!La ziada la kuongezea
Ziwa lina mamba na viboko ila jamaa akaamua kuingia mzima mzima
Mimi juzi tu nilivuka mto ruvu maji ya mapajani lakuni nilipofika katikati mwili ulisisimka lilipokuja wazo kuna mamba ndani ya huu mto.
Sent
UmenenaWewe ni mvuvi!?
Kama ndio hebu tueleze wewe kutoka 'site' alichofanya Majaliwa ili tuone hayo madhaifu yake.
Kama sio mvuvi kwenye ile ajali..tulia!
Tunataka wavuvi husika walalamike, sio nyie wakaanga mbuyu.
Aliyefungua mlango wa dharura ni cabin attendant si Majaliwa kwanza ukiwa nje ya ndege huwezi kufungua mlango kwakuwa hakuna access ya kifungulio.Acha wivu huo
Majaliwa alifanya kazi yake na ikaenda vizuri
Sawa ila aliyekuwa anaokoa kuwapeleka Juu si MajaliwaAliyefungua mlango wa dharura ni cabin attendant si Majaliwa kwanza ukiwa nje ya ndege huwezi kufungua mlango kwakuwa hakuna access ya kifungulio.
unateseka ukiwa wapi mkuu?Aliyefungua mlango wa dharura ni cabin attendant si Majaliwa kwanza ukiwa nje ya ndege huwezi kufungua mlango kwakuwa hakuna access ya kifungulio.
Kwa taarifa yako maisha yangu huwezi kuyafikia hata robo.unateseka ukiwa wapi mkuu?
Sijakataa Mwamba Majaliwa ana mchango wake lkn hakuwa pekee yake.Sawa ila aliyekuwa anaokoa kuwapeleka Juu si Majaliwa
Sawa ila ndo Bahati imeangukia kwakeSijakataa Mwamba Majaliwa ana mchango wake lkn hakuwa pekee yake.
Mamba na viboko wakisikia kelele nao huwa wanaogopa hawawezi kusogea karibu na hizo kelele !!