Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

Just because of our national hero and treasure people now have permanent major painin their fakin @$$
 
Nimeona mahojiano ya baadhi ya Manusura wakimtaja Air hostess mmoja kwamba Ndiye aliyefungua mlango na kuwaongoza kutoka nje, pia Kitu kinanitatiza mara nyingi naona kama mlango wa ndege huwa unafungwa kwa ndani!
 
Kuamini au kutoamini ilo ni jambo lingine, lkn swala la mazungumzo lugha iliyotumika ni lugha ya ishara na akaelewa rubani anahitaji msaada gani.
Wakati huo rubani yupo chini ya maji

Mashuhuda wanasema within 1 minutes ndege ilikuwa imeshajaa maji na ikizingatiwa rubani hukaa mbela na kule mbele maji ndipo yalianza kuingia

Hili somo watakuja kuelewa vizuri kizazi Cha baadae sana sie nyie Wala chips yai na pweza.
 
Nimeona mahojiano ya baadhi ya Manusura wakimtaja Air hostess mmoja kwamba Ndiye aliyefungua mlango na kuwaongoza kutoka nje, pia Kitu kinanitatiza mara nyingi naona kama mlango wa ndege huwa unafungwa kwa ndani!
Hostess yupo wapi sa hii

Ni kweli huenda alipambana kufungua mlango lakini kwa force ile ya maji ndani na nje mlango ungefunguka kweli? Nahic apa ndipo majaliwa alipochukua credit baada ya mlango watu wandani walivyo kuwa wanapambana kufungua yeye ndipo akaumalizia kwa njee
 
Let's do the math. Ilimchukua dk ngapi huyu hero kufungua mlango then na kuokoa watu,

Ukiachilia mbali ile theory ya kuufungua mlango wa ndege kwa Kasia bado watu hawajaielewa vizuri tutaijadili baadae.

Baada ya kufungua mlango shujaa aka dive kutaka kumuokoa pilot lkn alikatazwa kuvunja kioo Cha ndege na mtu asiyejulikana na mpaka Sasa hajulikani.

Baada ya mtu asijulikana kumkataza shujaa asipasue kioo shujaa aka dive tena kurudisha mawasiliano kwa pilot kwamba nimezuiwa nisivunje kioo na shujaa akaonesha ishara ya kuaga kuondoka huko chini ya maji

Sasa haeleweki hiyo kamba iliyokatika na kumchapa shujaa ilikuwa wkt gani wkt anafungua mlango ili abiria watoke au baada ya kushindwa kupasua kioo kumuokoa muongoza ndege?

Lkn Sasa manusura wa ajali wameanza kuzungumza kwamba ndege ilianza kuingia maji dk1 tu tangu ipige mbizi baharini.

Cha ajabu ni kwamba miongoni mwa watu wote walioshiriki uokozi ni shujaa pekee ndiye aliyefuatwa kuhojiwa na TBC.

Maswali ni mengi kuliko majibu

What is behind kwa ku rise shujaa Majaliwa?

Msinipige mawe tujadili.
Dogo huna kazi nyingine za kufanya? Hilo limeshapita, tumwache kijana amepata riziki yake
 
Kwa uelewa wangu mdogo, iko ivi MAJALIWA alisaidia mlango kufunguka huku watu waliokuwa ndani ya ndege nao wakipambana kufungua (maana sidhani kama wangeweza kufungua wenyewe na forc me ya maji yaliopo ndani nanjee) hivyo alivyo fanikiwa kupamiza mlango na kufunguka kwa vile alikuwa na wenzie kwa mtumbwi mdogo akawaacha watu waendelee kutoka ndo akaelekea kwa rubani kumsaidia na ndipo alipoopa vifaa vya kumsaidia kuvunja kioo cha pilot ikashindikana, ndipo rubani akamwelekeza afungue mlango wa emegence na ndipo alipo patwa na tatizo adi akajikuta hospital kutokana na iyo kamba kuachia na kumpiga uso.

Ila stori inawalakin maana waliokuwa ndani wanasema muhudumu wa ndege ndo alifungua mlango je kama ni kweli mbona wanasema amefariki? Ivyo alifungua alafu akarudi ndani tena au?
Wale waliokuwemo ndani hawakuwa na uwezo wa kumuona aliyekuwa anasaidia kuuvuta huo mlango kwa nje!! Na kuhusu mhudumu kufariki huenda alikuwa anajaribu kuwaokoa wengine ndio na yeye akazidiwa na maji ndani ya ndege ! Maana maji yalikuwa yanaingia zaidi baada ya mlango kuwa wazi. !!
 
Sikatai juhudi zake ila kumpaisha yeye tu na kuwaacha wenzake aliokuwa nao haijakaa sawa. Inakuzwa kama vile alikuwa peke yake.
 
Wakati huo rubani yupo chini ya maji

Mashuhuda wanasema within 1 minutes ndege ilikuwa imeshajaa maji na ikizingatiwa rubani hukaa mbela na kule mbele maji ndipo yalianza kuingia

Hili somo watakuja kuelewa vizuri kizazi Cha baadae sana sie nyie Wala chips yai na pweza.
Ukwel anaujua Muumba... kama maji yalianza kuingia kwa rubani je walikuwa wanawasiliana nae vipi? Maana mkuu wamkoa alisema wanazungumza na rubani yupo salama? Na mtu aliemkataza majaliwa achane na rubani alimwambia maji hayaingii kwa kasi upande wa rubani? Ivyo aache. Maswali ni mengi

Na ninajibu kutokana na stori za mitandaoni maana ata waliotoka hai nishawasikiliza wawili kila mmoja anasema yeye ndo aliokoa wenzie
 
Haijalishi alisaidia au hakusaidia hata kama hakuufungua huo mlango, kwanza inawezekana hiyo ndo Mara yake ya kwanza kuisogelea ndege na hajui chochote kuhusu mlango wa ndege lakini nia na moyo wake wa kuhitaji kutoa msaada na kujaribu kuufungua kwa kupiga na kasia bila kuhitaji malipo ya yeyote hiyo inatosha kwake kupata neema zote alizopata sasa.

Wapo watu na unform zao tena jeshi la wananchi wanalipwa mshahara lakin walibaki nje ya ziwa huku wamekunja mikono Kama wanaangalia sinema hata kushiriki kuvuta kamba tu hawakushiriki, alicho kifanya majaliwa siyo kitu kinacho weza kufanywa na watu Kama wewe, wewe kitu pekee unachoweza kufanya ni umbea na kumfatilia Mangekimambi huko Instagram
Umemaliza
 
Sikatai juhudi zake ila kumpaisha yeye tu na kuwaacha wenzake aliokuwa nao haijakaa sawa. Inakuzwa kama vile alikuwa peke yake.
Nadhani kilichosababisha kupaizwa sana ni kutokana na kupoteza fahamu
 
Kwa uelewa wangu mdogo, iko ivi MAJALIWA alisaidia mlango kufunguka huku watu waliokuwa ndani ya ndege nao wakipambana kufungua (maana sidhani kama wangeweza kufungua wenyewe na forc me ya maji yaliopo ndani nanjee) hivyo alivyo fanikiwa kupamiza mlango na kufunguka kwa vile alikuwa na wenzie kwa mtumbwi mdogo akawaacha watu waendelee kutoka ndo akaelekea kwa rubani kumsaidia na ndipo alipoopa vifaa vya kumsaidia kuvunja kioo cha pilot ikashindikana, ndipo rubani akamwelekeza afungue mlango wa emegence na ndipo alipo patwa na tatizo adi akajikuta hospital kutokana na iyo kamba kuachia na kumpiga uso.

Ila stori inawalakin maana waliokuwa ndani wanasema muhudumu wa ndege ndo alifungua mlango je kama ni kweli mbona wanasema amefariki? Ivyo alifungua alafu akarudi ndani tena au?
Kweli kabisa uelewa wako ni mdogo. Ndege ilikuwa na wafanyakazi 4 ambapo ni Rubani na msaidizi wake pamoja na wadada 2 ambao ni wahudumu.

Waliofariki ni rubani na msaidizi wake hao wadada walili walitoka salama na ndio waliokuwa wakitoa msaada kwa abiria wengine ikiwa ni pamoja na kufungua mlango.

Nenda kaangalie Qualifications of Air Hostess ndio utajua mlango ulifunguliwa vipi na hao abiria 21 walisaidiwa vipi.
1 - Air Hostess ni lazima awe na mafunzo ya kutosha juu ya uogeleaji pamoja na kumsaidia kuokoa watu kwenye maji.
2- Hawa wanaijua ndege vyema pia milango yote ya dharula pamoja na kufungua milango wakati wa kawaida pamoja na wakati ndege inatatizo.

Watu tulipoambiwa kuwa jina la muokoaji anaitwa Majaliwa basi akili zikakumkichwa
 
Wale waliokuwemo ndani hawakuwa na uwezo wa kumuona aliyekuwa anasaidia kuuvuta huo mlango kwa nje!! Na kuhusu mhudumu kufariki huenda alikuwa anajaribu kuwaokoa wengine ndio na yeye akazidiwa na maji ndani ya ndege ! Maana maji yalikuwa yanaingia zaidi baada ya mlango kuwa wazi. !!
Sawa, Yote Heri Mungu ni mwema. Tushukuru kwa kila jambo dogo iyo ni bahati yake tumuache afuraie keki ya taifa ni wakati wake.
 
Hostess yupo wapi sa hii

Ni kweli huenda alipambana kufungua mlango lakini kwa force ile ya maji ndani na nje mlango ungefunguka kweli? Nahic apa ndipo majaliwa alipochukua credit baada ya mlango watu wandani walivyo kuwa wanapambana kufungua yeye ndipo akaumalizia kwa njee
Ukiangalia na kufuatilia Ile ajali Ile ndege ilizama sana upande wa 1/3 ya mbele na abiria walifanikiwa kuokolewa ni wale wa nyuma na mlango haukuwa ndani ya maji! Kama ingekuwa hivyo sidhani Kuna mtu angeweza kushinda a na force ya maji baada ya mlango kufunguliwa na akawe a kuokoa idadi ya watu zaidi ya 20,ukiangalia Mfano wa chumba cha Marubani kilikuwa kimezama chini ndio maana Majaliwa alikatazwa kuvunja kioo kuokoa Marubani maana in real sense asingeweza kushinda na nguvu ya maji kuingia ndani
 
Acheni dharau watz ndo maana watu wanashindwa kujitolea kwa maneno ya kebehi kama hayo...eti wa mchongo nani kamchonga? abiria wana kiri kwamba ni yeye how come ww uliekua unaangalia kideoni uhoji
 
Ukiangalia na kufuatilia Ile ajali Ile ndege ilizama sana upande wa 1/3 ya mbele na abiria walifanikiwa kuokolewa ni wale wa nyuma na mlango haukuwa ndani ya maji! Kama ingekuwa hivyo sidhani Kuna mtu angeweza kushinda a na force ya maji baada ya mlango kufunguliwa na akawe a kuokoa idadi ya watu zaidi ya 20,ukiangalia Mfano wa chumba cha Marubani kilikuwa kimezama chini ndio maana Majaliwa alikatazwa kuvunja kioo kuokoa Marubani maana in real sense asingeweza kushinda na nguvu ya maji kuingia ndani
Okay, tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
Nafikiri wewe ni miongoni mwa wabishi sugu, mbishi hakosi cha kubishia.. sioni hoja zako zaidi ya ubishi.
 
Sikatai juhudi zake ila kumpaisha yeye tu na kuwaacha wenzake aliokuwa nao haijakaa sawa. Inakuzwa kama vile alikuwa peke yake.
Ni kweli kabisa huyu dogo nyota yake imeng'aa lkn hayo yote hakufanya peke yake rejea mahojiano ya Mwanzo akiwa hospital alikuwa na mpoint mwenzake kwamba walifanya wote jitihada za uokozi, nafikiri kwa kutambua hilo ndio maana Mh Raisi amewapa Asante kijiwe Chao chote million 10 wagawane.
 
Kuna kipindi nikiwa form three, matokeo ya form two ile necta hesabu niliongoza mimi class zima, ila huwez amini zawadi akapewa mtu mwingine.

Jamaa kwakua alikua anafahamika na walimu, sijui ndo mkuu alikua less informed kuhusu alieongoza basi mwamba akapewa zawadi ilhali hakua wa kwanza na alikua kapata F yule jamaa.

Mwisho wa siku ni bahati tu, ila mwamba alinipa changu.

Simshangai majaliwa hiyo huwaga inatokea, hata mi nishasifiwa sana kwa kufanya jambo dogo tu lakini sifa kedekede na za nyongeza juu.

Ni bahati lakini pia jina limembeba sana sana.
 
Back
Top Bottom