inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,740
- 22,490
Ewaa,Wacha wakulima wafaidi,inanikumbusha miaka minne iliyopitaLeo gunia la maindi liko laki moja na ishirini tu,TANZANIA HOYEE.......!
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app

So wewe ni mfuasi wa rainbow for realumeenda kunipekua eeh,
Lakini mimi sisemi "usiamini kila kinacholetwa kwenye mtandao" mimi ni mkweli
!!It doesn't up.Shida wale majeruhi haswa hawa walihojiwa wa mwisho mwisho wanachanganya sana. Yule majeruhi Dr wa kingereza kingi anasema alitoka wa kwanza na alikoa watu na wakampanda mabegani. Haya, katokea huyu mwingine ambae alihojiwa mwisho kabisa, na anasema jina lake lipo kwenye orodha ya kifo, nae anasema yeye ndo alitoka wa mwanzo na kuokoa wenzie. HATUJUI mkweli nani, Ila bila shaka wote hawa HAWAJUI nini kilitokea haswa mpaka mlango ufunguke na kilichokuwa kinajiri nje ya ndege.
KWA KUWASIKILIZA VIZURI SANA WAVUVI WENZAKE NA MAJALIWA, MAJERUHI WA KINGEREZA KINGI, MAJERUHI BONGE ALOJITOKEZA WA MWISHO NA MAJALIWA MWENYEWE, NIMEJIRIDHISHA KABISA KWAMBA, MAJERUHI HAWA WALIPATA MSHTUKO MKUBWA SANA KUTOKANA NA TUKIO, NA KUNA MAMBO HAWAKUYAONA VIZURI.
-MAJALIWA NI KWELI ALIPIGA MLANGO KWA KASIA NDIPO MLANGO UKAFUNGUKA.
-MAJALIWA ALIKUWA ANATUMWA NA WENZAKE SABABU NI MDOGO NA SIE ALIEKUWA ANAPIGA KASIA KWENYE MAJI, BALI ALIPEWA KASIA AGONGE NALO MLANGO SABABU ALIKUWA MBELE YA KAMTUMBWI.
-YULE BONGE, ALIKUWA ANAWAAMBIA WAVUVI WAMVUSHE BAADA YA KUONA WALE WALIOTOKA NYUMA YAKE WASHAVUSHWA, NA NDIE ALIVUTA KAMBA AMBAYO MAJALIWA ALIKUWA ANAIFUNGA KWENYE MLANGO WA MBELE, (KAMA ALIVYOELEKEZWA NA RUBANI, IT SEEMS PIA MLANGO ULE WA MBELE WA DHARURA ULIGOMA SABABU YA MAJI NA NDEGE ILIKUWA IMEZIMWA)
-WAKATI WAKIHANGAIKA KUSAIDIA WOKOZI, RUBANI ALIKUWA HAI NA ALIWASHA TAA KUTOA SIGN KWAMBA YUPO, NA WAVUVI WALIAMBIWA MOTO NA WAKAKIMBIA , LAKINI WALIRUDI IMEDIATELY NA NDIPO WALIANZA JUHUDI ZA KWENDA UPANDE WA RUBANI. KUMBUKA RUBANI YULE NI MZOEFU, LAZIMA ALIVAA BOYA NA ALIJARIBU KIFUNGUA MLANGO WA EMERGENCY, LKN BILA SHAKA ALISHINDWA SABABU LOCK ZILIGOMA DUE TO WATER. KASIA NI ZITO MAJALIWA NI MDOGO ASINGEWEZA KUZAMA NALO, THAT IS WHY ALIPEWA VISHOKA VIDOGO. BAADAE EALIONA OPTION YA KWA KUUFUNGA ULE MLANGO KWA KAMBA NA KUUVUTA KWA MTUMBWI WENYE ENGINE, INGEWEZA KUSAIDIA KUSHTUA LOCK. LAKINI BAHAT MBAYA KAMBA ILIVUTIKA IKAKATIKA NA KIMTANDIKA MFUNGAJI.
-MAJERUHI BONGE ALIPOVUTA HIYO KAMBA ILIMTANDIKA MAJALIWA VIBAYA SANA USONI NA IKAMRUSHA MBALI NA KUZIRAI, KAMA SIO WENZIE KUMWOKOA NAE ANGEKUFA. NA HII NDIO SABABU BONGE ALIKIMBIA AKIOGOPA ALICHOMSABABISHIA KIJANA MAJALIWA. KUNA ROHO YA UBINAFSI ILIMVAA HUYU BONGE PAMOJA NA ROHO MBAYA KABISA. SABABU ALIWATUMA PIA KINA MAJA KURUD NDAN YA NDEGE KUMTAFUTIA BAG LAKE ( YOU CAN IMAGINE HOW HARD &CRUEL THE MAN IS, KATKAT YA JANGA KUBWA HIVI UNAEAXS BEGI NA SIO WENZIO WALIOBAKI NDEGENI)
MAJALIWA NI SHUJAA, ALMANUSURA APOTEZE MAISHA, NA PIA NI MSIKIVU, ALIKUWA ANAWASIKILIZA WAKUBWA ZAKE. NA KILA ALIPOHOJIWA HUWATAJA KWAMBA WALISAIDIANA.
NB: Wamiliki wa vyombo vya habari vya binafsi na vya serkali, nanyi mchukue hatua. Bado Kuna makanjanja wengi kwenye tasnia ya habari
Huu ni MCHONGO kuua SOO la lawama kwa Gwason Msigwa (MwanaHabari wa Serikali) na hotuba yake ya Helicopter kila kitu kilishapangwa wenye akili washaelewaMsinipige mawe tujadili.
It doesn't add up.Shida wale majeruhi haswa hawa walihojiwa wa mwisho mwisho wanachanganya sana. Yule majeruhi Dr wa kingereza kingi anasema alitoka wa kwanza na alikoa watu na wakampanda mabegani. Haya, katokea huyu mwingine ambae alihojiwa mwisho kabisa, na anasema jina lake lipo kwenye orodha ya kifo, nae anasema yeye ndo alitoka wa mwanzo na kuokoa wenzie. HATUJUI mkweli nani, Ila bila shaka wote hawa HAWAJUI nini kilitokea haswa mpaka mlango ufunguke na kilichokuwa kinajiri nje ya ndege.
KWA KUWASIKILIZA VIZURI SANA WAVUVI WENZAKE NA MAJALIWA, MAJERUHI WA KINGEREZA KINGI, MAJERUHI BONGE ALOJITOKEZA WA MWISHO NA MAJALIWA MWENYEWE, NIMEJIRIDHISHA KABISA KWAMBA, MAJERUHI HAWA WALIPATA MSHTUKO MKUBWA SANA KUTOKANA NA TUKIO, NA KUNA MAMBO HAWAKUYAONA VIZURI.
-MAJALIWA NI KWELI ALIPIGA MLANGO KWA KASIA NDIPO MLANGO UKAFUNGUKA.
-MAJALIWA ALIKUWA ANATUMWA NA WENZAKE SABABU NI MDOGO NA SIE ALIEKUWA ANAPIGA KASIA KWENYE MAJI, BALI ALIPEWA KASIA AGONGE NALO MLANGO SABABU ALIKUWA MBELE YA KAMTUMBWI.
-YULE BONGE, ALIKUWA ANAWAAMBIA WAVUVI WAMVUSHE BAADA YA KUONA WALE WALIOTOKA NYUMA YAKE WASHAVUSHWA, NA NDIE ALIVUTA KAMBA AMBAYO MAJALIWA ALIKUWA ANAIFUNGA KWENYE MLANGO WA MBELE, (KAMA ALIVYOELEKEZWA NA RUBANI, IT SEEMS PIA MLANGO ULE WA MBELE WA DHARURA ULIGOMA SABABU YA MAJI NA NDEGE ILIKUWA IMEZIMWA)
-WAKATI WAKIHANGAIKA KUSAIDIA WOKOZI, RUBANI ALIKUWA HAI NA ALIWASHA TAA KUTOA SIGN KWAMBA YUPO, NA WAVUVI WALIAMBIWA MOTO NA WAKAKIMBIA , LAKINI WALIRUDI IMEDIATELY NA NDIPO WALIANZA JUHUDI ZA KWENDA UPANDE WA RUBANI. KUMBUKA RUBANI YULE NI MZOEFU, LAZIMA ALIVAA BOYA NA ALIJARIBU KIFUNGUA MLANGO WA EMERGENCY, LKN BILA SHAKA ALISHINDWA SABABU LOCK ZILIGOMA DUE TO WATER. KASIA NI ZITO MAJALIWA NI MDOGO ASINGEWEZA KUZAMA NALO, THAT IS WHY ALIPEWA VISHOKA VIDOGO. BAADAE EALIONA OPTION YA KWA KUUFUNGA ULE MLANGO KWA KAMBA NA KUUVUTA KWA MTUMBWI WENYE ENGINE, INGEWEZA KUSAIDIA KUSHTUA LOCK. LAKINI BAHAT MBAYA KAMBA ILIVUTIKA IKAKATIKA NA KIMTANDIKA MFUNGAJI.
-MAJERUHI BONGE ALIPOVUTA HIYO KAMBA ILIMTANDIKA MAJALIWA VIBAYA SANA USONI NA IKAMRUSHA MBALI NA KUZIRAI, KAMA SIO WENZIE KUMWOKOA NAE ANGEKUFA. NA HII NDIO SABABU BONGE ALIKIMBIA AKIOGOPA ALICHOMSABABISHIA KIJANA MAJALIWA. KUNA ROHO YA UBINAFSI ILIMVAA HUYU BONGE PAMOJA NA ROHO MBAYA KABISA. SABABU ALIWATUMA PIA KINA MAJA KURUD NDAN YA NDEGE KUMTAFUTIA BAG LAKE ( YOU CAN IMAGINE HOW HARD &CRUEL THE MAN IS, KATKAT YA JANGA KUBWA HIVI UNAEAXS BEGI NA SIO WENZIO WALIOBAKI NDEGENI)
MAJALIWA NI SHUJAA, ALMANUSURA APOTEZE MAISHA, NA PIA NI MSIKIVU, ALIKUWA ANAWASIKILIZA WAKUBWA ZAKE. NA KILA ALIPOHOJIWA HUWATAJA KWAMBA WALISAIDIANA.
NB: Wamiliki wa vyombo vya habari vya binafsi na vya serkali, nanyi mchukue hatua. Bado Kuna makanjanja wengi kwenye tasnia ya habari
ishakuwa wivu tena?Acha wivu huo
Majaliwa alifanya kazi yake na ikaenda vizuri
Nakupongeza sana KWA post hii, uliona MBALI sana!Let's do the math. Ilimchukua dk ngapi huyu hero kufungua mlango then na kuokoa watu,
Ukiachilia mbali ile theory ya kuufungua mlango wa ndege kwa Kasia bado watu hawajaielewa vizuri tutaijadili baadae.
Baada ya kufungua mlango shujaa aka dive kutaka kumuokoa pilot lkn alikatazwa kuvunja kioo Cha ndege na mtu asiyejulikana na mpaka Sasa hajulikani.
Baada ya mtu asijulikana kumkataza shujaa asipasue kioo shujaa aka dive tena kurudisha mawasiliano kwa pilot kwamba nimezuiwa nisivunje kioo na shujaa akaonesha ishara ya kuaga kuondoka huko chini ya maji
Sasa haeleweki hiyo kamba iliyokatika na kumchapa shujaa ilikuwa wkt gani wkt anafungua mlango ili abiria watoke au baada ya kushindwa kupasua kioo kumuokoa muongoza ndege?
Lkn Sasa manusura wa ajali wameanza kuzungumza kwamba ndege ilianza kuingia maji dk1 tu tangu ipige mbizi baharini.
Cha ajabu ni kwamba miongoni mwa watu wote walioshiriki uokozi ni shujaa pekee ndiye aliyefuatwa kuhojiwa na TBC.
Maswali ni mengi kuliko majibu
What is behind kwa ku rise shujaa Majaliwa?
Msinipige mawe tujadili.
HAKUNA KILICHOTOKEA ISIPOKUWA tafakuri zangu ZA sasaI zinakubaliana na maoni yako, KITU AMBACHO HAPO kabla sikuwa nakubaliana nachoKumetokea nini mkuu?