othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,637
- 12,117
- Thread starter
- #41
Labda kama aliwahi kupata chochote kitu miongoni mwa manusura wa ajali who knows?Mimi nahitimisha kuwa dogo niwamchongo ndio maana ndicho kitu mnapenda kusikia ili mfurahi, lakini pia dogo ameshatoboa kimaisha hata kama tushinde na tukeshe tunamjadili haitabadili kitu, hata kama hakuokoa mtu kitendo cha kijana mdogo kama huyo kufika tu eneo la tukio wa kwanza ni ujasiri tosha ingekuwa nyie vijana wa Dar mngesimama pembeni kupiga picha na smart zenu kama waandishi wa habari, vijana tuacheni wivu kuna vitu vingi vya kujadili vinavyoweza kubadili maisha yetu.