thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,135
😂😂Fact broo yaani kakaa kabisa na kitako anaandika alafu anajiona ana point kwamba ni wa mchongo yaani sisi vijana wa bongo tuna mawazo ya kitoto sanaMimi nahitimisha kuwa dogo niwamchongo ndio maana ndicho kitu mnapenda kusikia ili mfurahi, lakini pia dogo ameshatoboa kimaisha hata kama tushinde na tukeshe tunamjadili haitabadili kitu, hata kama hakuokoa mtu kitendo cha kijana mdogo kama huyo kufika tu eneo la tukio wa kwanza ni ujasiri tosha ingekuwa nyie vijana wa Dar mngesimama pembeni kupiga picha na smart zenu kama waandishi wa habari, vijana tuacheni wivu kuna vitu vingi vya kujadili vinavyoweza kubadili maisha yetu.