Babu Seya messed up with da wrong person by hanging out with his chicka....
Kinachiniuma ni jinsi wanawe wa kiume walivyomalizwa kwenye ishu hii. Hata kama wataachiwa huru, thier lives are already ruined.
Malipo ni hapa hapa duniani.
Huyu hakubaka mbona wote tunajua chanzo? kumbuka wimbo wake wa "SALIMA" ndio uliomponza mwenye masikio na asikie the home of great thinker.

asee nimeumia saaana ningejua nisingefungua thread hii
hivi yule mwalimu walimlipa kiasi gani kusema
uongo ?na kwanini yule mwalimu
yupo huru wkt nayeye alikuwa anawapeleka
hao watoto kwa mujibu wa magazeti?
ila what goes around comes around
hata kama si kwa stail ya babu seya loool
sawa bwana jaji!Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.
asee nimeumia saaana ningejua nisingefungua thread hii
hivi yule mwalimu walimlipa kiasi gani kusema
uongo ?na kwanini yule mwalimu
yupo huru wkt nayeye alikuwa anawapeleka
hao watoto kwa mujibu wa magazeti?
ila what goes around comes around
hata kama si kwa stail ya babu seya loool
Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.
sawa bwana jaji!