Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,315
2,634
Leo hii mida hii nimesikiliza wimbo wa huyu mzee babu seya roho imeniuma sana pale nilipo kumbuka kwamba alifungwa kwa kosa la kunajisi watoto.pia nakumbuka jinsi kesi yake ilivyovuta wengi kufuatilia kesi hiyo.hiyo yote ni kutokana na utata wa madhingira ya huo ubakaji.jambo la msingi kwenu wana jf ninaomba tukumbushane hasa kwa wale wanaoifahamu kwa ukaribu familia hii
 
Babu Seya messed up with da wrong person by hanging out with his chicka....

Kinachiniuma ni jinsi wanawe wa kiume walivyomalizwa kwenye ishu hii. Hata kama wataachiwa huru, thier lives are already ruined.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
asee nimeumia saaana ningejua nisingefungua thread hii
hivi yule mwalimu walimlipa kiasi gani kusema
uongo ?na kwanini yule mwalimu
yupo huru wkt nayeye alikuwa anawapeleka
hao watoto kwa mujibu wa magazeti?
ila what goes around comes around
hata kama si kwa stail ya babu seya loool
 
adhabu imekuwa kubwa sana kuliko kosa if this is the case 'cause hakumfunga na kamba bali aliufuata mwenyewe kwa hiari yake na babu akawa anajigawia.

sema ile dedication nayo ilichangia adhabu kuwa kubwa "seya tukoke woteeee wasema uko wanguuu......" wakati si wake -- ha ha ha
 
Kuna habari kuwa hata nyumba zake zote ziliuzwa ili kulipia fidia ya wale malaika, tupeni habari kama ni ukweli.
 
Mbona me celew chochote wakuu,kwan babu seya c alhukumiwa maisha kwa kosa la kuwaingilia kimwil watoto wadogo,au kesi yake ilipikwa?naombeni mnifumbue macho mwenzenu.
 
Duh mkuu inaweza kuwa kweli eee!, maana nimesikia siku nyingi hizo fununu za hilo bifu lakini bado sijalipata vizuri.
Huyu hakubaka mbona wote tunajua chanzo? kumbuka wimbo wake wa "SALIMA" ndio uliomponza mwenye masikio na asikie the home of great thinker.
 
asee nimeumia saaana ningejua nisingefungua thread hii
hivi yule mwalimu walimlipa kiasi gani kusema
uongo ?na kwanini yule mwalimu
yupo huru wkt nayeye alikuwa anawapeleka
hao watoto kwa mujibu wa magazeti?
ila what goes around comes around
hata kama si kwa stail ya babu seya loool

Alilipwa pesa za vocha na nauli ya daladala tu
 
Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.
 
msitukumbushie machungu haya
wahenga husema "kila mla cha mwenzie na chake huliwa".........
:dance:
vilevile kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.
 
asee nimeumia saaana ningejua nisingefungua thread hii
hivi yule mwalimu walimlipa kiasi gani kusema
uongo ?na kwanini yule mwalimu
yupo huru wkt nayeye alikuwa anawapeleka
hao watoto kwa mujibu wa magazeti?
ila what goes around comes around
hata kama si kwa stail ya babu seya loool

nani aliye waona hao watoto?
mwl aliyekuwa anawapeleka mbona hakushtakiwa?
mbona hakuna ushahidi wa daktari?
.........................
...........................
...............................
mwenye nguvu mpishe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom