Tukumbushane mistari iliyomhusu Babu Seya na Papii Kocha.

Mr the dragon

JF-Expert Member
Apr 14, 2017
1,919
3,646
Leo December 9 2017 siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanzania bara.Rais wa jamhuri ya muungano ametoa msamaha kwa Wanamziki Nguza Viking Maarufu kama Babu Seya na mwanaye Papii Kocha.

Hapa ningependa tusijadili kesi,hukumu au msamaha ila tutupie mistari tunayoijua iliyoimbwa na wasanii inayomhusu Babu Seya na Papii Kocha kwa sababu najua ipo mingi.

Naanza na hii....

"Sisaliti sirudishi kadi ya chama ka nakaya,bado hainingii akilini hukumu ya Babu seya".......wimbo wa mathematics by Roma Mkatoliki.

"Hii pesa imetoka jando inataka kunibabu seya".....wimbo wa Kabwela by stamina.

"Sio rahisi baba na mwana kubaka,mwambieni Papii Kocha kumwombea sijachoka".......wimbo wa waambieni by kala Jeremiah.

Tiririka na wewe mistari unayoijua.
 
Back
Top Bottom