Mwaka huo kitambulisho Kama hiki kinatolewa, QR code zilikuwa hazijaanza. Msilazimishe Mambo. Tafuta njia nzuri ya kusolve hili tatizo na si kwa kuongeza tatizo. Sijui kufanya hivyo mna nia gani au mnataka kusajili nini vichwani mwa watu?
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho.
Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni mzoefu.
Hii taarifa ya habari ya kituo cha Diallo ndio imenichanganya zaidi lakini hata Wasafi wamemuhoji huyo kijana na stori ni hiyo hiyo.
Kilichonishangaza ni taarifa ya dada mwingine aliyedai gaidi akitokea baharini na aliwasalimia kisha ndio akawaelekea polisi na kuanza kupiga risasi.
Anyway uchunguzi wa polisi utatupatia ukweli.
Kuna uchnguzi uliowahi kutoa majibu ya tukio ?Nadhani uchunguzi hapa uanzie hapo kwenye umiliki wa hiyo Pistol,uraia wake na maisha yake kabla ya tukio,maana mapicha tayari yako mitandaoni,hii inaonyesha kuwa ni mtu tuliekuwa tunaishi naye...
Kwao wapi unauhakika sio WatanzaniaJambo zuri ni kuwa gaidi limeanguka na familia yake irudushwe kwao ikaendelee na ugaidi
unakwazika ukweli unaposemwa? ingekuwa ni mtu wa cdm na alikuwa mstari wa mbele kumpigia kampeni tundu lisu kama huyu aliyeteuliwa na ccm kuwa mpigadebe wa magu mkoa wa tabora bila shaka ungetaka hata chadema ifutwe.Kati ya watu wanao nikwaza ni wanao leta siasa kwenye maswala kama haya.
Eti mara kada wenu hivi zinacharge kweli waona comment hivi.
Wadada sio wa kuwaamini...Sasa mtu anatokeaje bahariniNimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho.
Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni mzoefu.
Hii taarifa ya habari ya kituo cha Diallo ndio imenichanganya zaidi lakini hata Wasafi wamemuhoji huyo kijana na stori ni hiyo hiyo.
Kilichonishangaza ni taarifa ya dada mwingine aliyedai gaidi akitokea baharini na aliwasalimia kisha ndio akawaelekea polisi na kuanza kupiga risasi.
Anyway uchunguzi wa polisi utatupatia ukweli.
Kwani polisi ndo wakweli? Hata vyombo vyenyewe vya habari vinaweza kupika habari..Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho.
Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni mzoefu.
Hii taarifa ya habari ya kituo cha Diallo ndio imenichanganya zaidi lakini hata Wasafi wamemuhoji huyo kijana na stori ni hiyo hiyo.
Kilichonishangaza ni taarifa ya dada mwingine aliyedai gaidi akitokea baharini na aliwasalimia kisha ndio akawaelekea polisi na kuanza kupiga risasi.
Anyway uchunguzi wa polisi utatupatia ukweli.
Mafunzo ya kivita ameyapatia wapi..hamna dhuluma hapoDuh ila polisi lazma kuna kitu wamemfanya huyu jamaa, kama dhulma itakuwa uonevu
Acheni kuingiza mambo ya siasa kwenye maswala ya watu kwahiyo kila anacho fanya mtu ni siasa.unakwazika ukweli unaposemwa? ingekuwa ni mtu wa cdm na alikuwa mstari wa mbele kumpigia kampeni tundu lisu kama huyu aliyeteuliwa na ccm kuwa mpigadebe wa magu mkoa wa tabora bila shaka ungetaka hata chadema ifutwe.
acha ukinyonga. wanafiki kama wewe na ccm yenu ndiyo mmeifikisha nchi hapa ilipoanza kufika.
kwanza siyo maswala ni masualaAcheni kuingiza mambo ya siasa kwenye maswala ya watu kwahiyo kila anacho fanya mtu ni siasa.
Kuhusu suala la mimi kuandika Swala ni typing error bila shaka na wewe umeanza kwa kukosea umeandika oeder na baadae ndio umebadili Kuwa order.kwanza siyo maswala ni masuala
Pili...inaonekana hujui geopolitics ya nchi hii kwa sasa. Siasa ndiyo imekuwa kila kitu. mwanasiasa wa ccm nchi hii anaweza akakuzushia jambo lolote la uongo kabisa na polisi wakakushughulikia.
Bi gwajima-waziri wa afya alitoa order gwajiboy akamatwe. IGP akagoma kwamba haoni jinai. Unadhani gwajiboy angekuwa bado ana mafungamano na chadema asingefuatwa au kutakiwa kureport central police?
Sio wale alowaua?Askari waliochukua dhahabu ya Hamza nao wawajibishwe watazidi kuendeleza unyang'anyi na dhuluma kwa watu.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Yaan yule dada fix sana khaaa ukimsikiliza tu unajua au kapangwa au kajipanga...we mwanamke mdogo kama vile na una mtoto mdogo umeona risasi utakaa kuangalia matukio yote kias kile kwel?Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho.
Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni mzoefu.
Hii taarifa ya habari ya kituo cha Diallo ndio imenichanganya zaidi lakini hata Wasafi wamemuhoji huyo kijana na stori ni hiyo hiyo.
Kilichonishangaza ni taarifa ya dada mwingine aliyedai gaidi akitokea baharini na aliwasalimia kisha ndio akawaelekea polisi na kuanza kupiga risasi.
Anyway uchunguzi wa polisi utatupatia ukweli.
Sasa mkuu Kwa akili ya kawaida katikamazingira Yale ya risasi kuna MTU anaweza kushuhudia tukio mwanzo Hadi mwisho kweli? Ndo maana unasikia wengine wakisema aliishiwa rsasi akanyanyua mikono, Kisha akapiga magoti, akalala chini ndipo akapigwa risasi.Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho.