Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,979
😅 usimalize yote.Asante,
Nitoe ya moyoni vizuri.
😅 usimalize yote.Asante,
Nitoe ya moyoni vizuri.
Nimalize kwa nani sasa?😅 usimalize yote.
Yalaa🤣😂, naku report kwa mwenyekiti 🤒😀.😊
Mwaka huu hatupiki...tutakula kwa majirani!
Bro Mshana Jr huja niambia hapa wapi???🤒
Mkuu hiyo sehemu ipo ndani ya Lushoto Eden ya TanzaniaWapi hapa rafiki?
Basi wame Barikiwa mno, Kuna a friend of mine ni mtanga.
MmhI mean no malice to nobody 🤒.
👉 Jobless style, Nuzulati, Tayana-wog, Joannah,
View attachment 2862831
Mi jobless tu 😀🤒, halafu kula ni starehe na kipaji changu😀🤣Mmh
Jobless ambae anakula Bata, anapatikana jf
Na mi naomba connection