Show za kibabe

Show za kibabe

When great meets great= phenomenal.
Screenshot_20240105-183131_1.jpg
 
Kijana,una uchoyo mkubwa
Hata mkeo unampatia pesa ya matumizi ya kutosha kweli wewe?
Eti mi mchoyo😁🤣😂😂.
👉Bro maarifa yako world wide, bado una nilalamikia🤣.
👉Mke wangu Tena 🤔😂🤣🤣, she gets what she deserves 🤒
👉 Nakojoa pazuri 🤒
 
Eti mi mchoyo😁🤣😂😂.
👉Bro maarifa yako world wide, bado una nilalamikia🤣.
👉Mke wangu Tena 🤔😂🤣🤣, she gets what she deserves 🤒
👉 Nakojoa pazuri 🤒
Kwahiyo unahisi maarifa yangu yatakuwa faida nitakapoacha kulalama ?

Share maarifa,yanaweza yasiwe worldwide lakini maarifa ni maarifa sahihi yatakapoleta faida.
 
Kijana msomi,
una nguvu,
unamiliki wanawake zaidi ya 3 na wote unatimizia mahitaji yao ya kila aina

Unakubali hali ya kutokuwa na ajira ikutawale?🤣

Nasi wengine ambao si wasomi na hatuko na pesa mbona hatulalamiki?
Sarcasm ime jaa ndani yako🤔😀.
👉In short, Sija wahi enda shule bro, so nakaza kimtaa tu🤒.
👉 Sina Wanawake 3, I got only one chick.
👉Yeah am human being, niki kosa ajira lazima niwe stressed.
👉Una taka nile emoji za jf😀🤣
 
Kwahiyo unahisi maarifa yangu yatakuwa faida nitakapoacha kulalama ?

Share maarifa,yanaweza yasiwe worldwide lakini maarifa ni maarifa sahihi yatakapoleta faida.
You got me wrong bro, nime maanisha as long as the info iko wazi.
👉You can get it, sio kulalamika kwamba mtu kagoma kushare na wewe.
👉Akati vipaumbele vyako ni tiktok🤣😀
 
Sarcasm ime jaa ndani yako🤔😀.
👉In short, Sija wahi enda shule bro, so nakaza kimtaa tu🤒.
👉 Sina Wanawake 3, I got only one chick.
👉Yeah am human being, niki kosa ajira lazima niwe stressed.
👉Una taka nile emoji za jf😀🤣
Nje ya yote
Spill the beans rafiki,what's the lowdown on your moves to score big bucks like those influencers you're keeping tabs on online? Aliko na bwana Mo?
Lete maneno tupate mwanga!!!
 
Nje ya yote
Spill the beans rafiki,what's the lowdown on your moves to score big bucks like those influencers you're keeping tabs on online? Aliko na bwana Mo?
Lete maneno tupate mwanga!!!
Nakojoa pazuri 🤒,. As long as Umesha choose sarcastic method,.
👉Nami nita i implement 😀🤣, coz I have all ready told yah. Mi ni jobless pro max 🤒
 
Back
Top Bottom